ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,386
unasimamia upande upi mkuu?Sasa kama hela tutatoa, na tayari mnang'aa, unafikiri tutaacha kuomba papuch kweli? Ila mara moja moja si Mbaya.
unasimamia upande upi mkuu?Sasa kama hela tutatoa, na tayari mnang'aa, unafikiri tutaacha kuomba papuch kweli? Ila mara moja moja si Mbaya.
Mara tutunze nyuchi mara mara moja moja sio mbay!! Tushike lipi?Sasa kama hela tutatoa, na tayari mnang'aa, unafikiri tutaacha kuomba papuch kweli? Ila mara moja moja si Mbaya.
Kiranga humtaki tena?Nipe kaka ako shostie[emoji6]
LA msingi ni kua we tunza uchi, kwa namna yoyote ile usikubali kumvulia mwanamme kirahisi, epuka mazingira ya siri kabla ndoa, unashinda ndani na mwanaume rijali unadhani atakuachaa?kataa , usijipele kwake, usijipeke guest....Mara tutunze nyuchi mara mara moja moja sio mbay!! Tushike lipi?
Alafu nichizike kwa nyege eeh!! Nimegoma.LA msingi ni kua we tunza uchi, kwa namna yoyote ile usikubali kumvulia mwanamme kirahisi, epuka mazingira ya siri kabla ndoa, unashinda ndani na mwanaume rijali unadhani atakuachaa?kataa , usijipele kwake, usijipeke guest....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] , sawa mkuuAlafu nichizike kwa nyege eeh!! Nimegoma.
Hahahaha, cc ValentinaAlafu nichizike kwa nyege eeh!! Nimegoma.
Mrejesho please......Wapendwa ni matumaini yangu mpo wazima na mko vizuri katika majukumu yenu
Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake ya kimapenzi na wengi tumetendwa na wale ambao tuliwekeza mioyo yetu kwao kwa kuwaamini kwamba wataiendeleza furaha yetu, ila kwasababu mbalimbali au kwa bahati mbaya wengi hatukuweza kufikia matarajio yetu juu ya hao wenzetu.
Binafsi nilikua katika mahusiano na mtu ambae nilimpenda mno narudia tena nilimpenda tena mno. Na ndie mwanaume wangu wa kwanza kukutana nae kimwili.
Naye kwa upande wake alionyesha uaminifu na moyo wakujali,maneno yote mazuri yenye matumaini mtoto wa kike niliambiwa, kifupi tulipanga uhusiano wetu uzae ndoa.
Ilifika hatua mwezi wa sita mwaka jana akaja Arusha kwalengo la kujitambulisha nyumbani kwetu. Lakini ghafla katika hali ambayo sikuitarajia akabadilisha maamuzi yake akanipa visingizio.
Baada ya muda mfupi kabla ya yeye kurejea kwenye makazi yake, nikamfumania akiwa na rafiki yangu wa karibu, rafiki niliye mchukulia kama ndugu yangu na kushare nae baadhi ya mambo.
Waliosalitiwa bila shaka wanaelewa uzito wa maumivu hayo. Ikabidi niwe mpole,na kuwaambia waendelee mbele,siku zilivosonga yule binti akaanza mambo ya dharau kwangu ila namshkuru Mungu nilipata moyo wa kumsamehe na kupuuza dharau zake.
Ilipofika mwezi wa 9 yule binti aliacha kazi kwa shari na kurudi kwao.
Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu leo, nikwamba yule mwanaume anataka kurudi kwangu na mimi moyo wangu unakua mzito kumrudia, nimetokea kumchukia.
Jambo linalonisumbua zaidi kila ninapoanza mahusiano mapya hua nashindwa kuendelea mbele, hofu ya kwamba huyu atanifanyia kama yule inanijia mara kwa mara na matokeo yake nakua sababu ya kuvunjika uhusiano huo.
Wapendwa nifanye nini kukabiliana na hali hii ya pili? Ninatamani sana hali hii iniondoke. Karibu kwa mchango wako kimawazo.
Kwenye makosa ya kiuandishi mnisamehe maana natumia simu.
[emoji13] [emoji14] ya nne umejipigia debe jombaapole kwa yaliyokusibu.
swali: je kuna nafsi inakuambia urudiane naye au hata moyoni mwako hayumo?
kuna dada mmoja alitendwa vibaya sana na bf wake. akawa karibu sana nami. akaniambia mabaya mengi ya huyo jamaa(ambaye nilisoma naye) na akawa ananiapia kuwa hatarudiana nae tena.
baada ya muda mfupu nikamsikia anasema mara "jamaa ameokoka nimekutana naye kwenye semina", mara kilikwenda kikarudi....hatimaye wakarudiana.
hata mwezi haukuisha jamaa akamtenda tena yule dada. hadi leo dada wa watu kachanganyikiwa mno. kila me kwake ni sumu.
anyway, fanya yafuatayo:
1. usimpe nafasi ya kuumiza moyo wako tena
2. msamehe ili ufungue ukrasa mpya na wengine(najua ni ngumu lakini usipofanya hivyo hutapata amani ya moyo na kwa hiyo utishi na mume bila imani naye.
3. njoo kwangu, sijawahi kupenda, naanzia kwako, sitakusaliti.....teh teh teh!