Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kwa ufupi dada huyu kwa mliosoma Sexology au Psycholoy ya mahusiano HAWEZI KUMUACHA HUYU MSELA NA NDIYO MAANA AMEKUJA KWENU ila kwakuwa Watz.mlio wengi mnamawazo ya mwendokasi kama kawa bila kutafakari mnachokisema au kilichosemwa au kuandikwa mnakurupuka na kutoa yenu ya moyoni au akilini TU.
Kwa maana kama angelikuwa hampendi na hataki kurudiana na msela wake wa zamani asingelikuja humu JF ku ask again,kwa ufupi hapa mnatwanga maji kwenye kinu maana kwanza hawa chura sasa hivi ni wengi in reality kuliko wanaume.
Yaani Man To Many au Many Women/Girls to Man.
Siyo ninawadharau papuchis ila ni nyeupe hii ninawapa kwa mnaofumba na kuziba masikio kwa kujifanya.
Zaidi hii ni dunia yenye ushindani wa kila kitu,hivyo sote tunapaswa ubunifu na usanifu kwenye nyanja zote achilia mbali mapenzi.
Ni hivi kuna mapungufu huenda yalitokea kati yenu na kukosa busara either yamesababishwa na mmoja wenu kwa kujua au kuto kujua na kutoa mwanya kwa kicheche kumchukua kifaranga na hatimaye ameshindwa kumla na kumtapika.
My Take Now: Wewe Mrembo kaa na mwenza wako aliye kusaliti akupe sababu na hatimaye myamalize wenyewe na kupeane ahadi upya na hatimaye kuwa wa moja tena,kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Ni rahisi mkaishi na huyu mwenzawako kuwa mnajuana tabia kwa sasa na madhaifu pamoja na uimara wa kila mmoja wenu na endapo utakaidi shauri yako kwani hakuna vijana waliotulia kwa sasa abadani zaidi ya kuhangaika na kujiua mwishowe kwa magonjwa au pressure ya maprnzi kwa kutumika na kuachwa tu.
Mkapime msameheane na mfunge ndoa Mungu awabariki na kuwasamehe dhambi zenu zote zikiwemo za ngono za awali hadi mnaumizana kwa kutoana bikra kabla ya muda wake na kama uko Dsm badilika maana huku ni uozo mtupu.
You are very wrong broo.... Nashkuru hawakupoteza nguvu zao bure kunishauri.

Nilivo leo ni kutokana na ushauri wa wana Jf,nimejitambua na ninasonga mbele. Vinginevo ningerudia matapishi na kuendelea kuumia ila nashkuru kwa ushauri wa humu. Nimevuka na ninasonga
 
Utakuja kuniambia tu maana nime kuambia kwa utaalamu na kwa experience.
Nitafute PM.
 
Wapendwa ni matumaini yangu mpo wazima na mko vizuri katika majukumu yenu

Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake ya kimapenzi na wengi tumetendwa na wale ambao tuliwekeza mioyo yetu kwao kwa kuwaamini kwamba wataiendeleza furaha yetu, ila kwasababu mbalimbali au kwa bahati mbaya wengi hatukuweza kufikia matarajio yetu juu ya hao wenzetu.

Binafsi nilikua katika mahusiano na mtu ambae nilimpenda mno narudia tena nilimpenda tena mno. Na ndie mwanaume wangu wa kwanza kukutana nae kimwili.

Naye kwa upande wake alionyesha uaminifu na moyo wakujali,maneno yote mazuri yenye matumaini mtoto wa kike niliambiwa, kifupi tulipanga uhusiano wetu uzae ndoa.

Ilifika hatua mwezi wa sita mwaka jana akaja Arusha kwalengo la kujitambulisha nyumbani kwetu. Lakini ghafla katika hali ambayo sikuitarajia akabadilisha maamuzi yake akanipa visingizio.

Baada ya muda mfupi kabla ya yeye kurejea kwenye makazi yake, nikamfumania akiwa na rafiki yangu wa karibu, rafiki niliye mchukulia kama ndugu yangu na kushare nae baadhi ya mambo.

Waliosalitiwa bila shaka wanaelewa uzito wa maumivu hayo. Ikabidi niwe mpole,na kuwaambia waendelee mbele,siku zilivosonga yule binti akaanza mambo ya dharau kwangu ila namshkuru Mungu nilipata moyo wa kumsamehe na kupuuza dharau zake.

Ilipofika mwezi wa 9 yule binti aliacha kazi kwa shari na kurudi kwao.

Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu leo, nikwamba yule mwanaume anataka kurudi kwangu na mimi moyo wangu unakua mzito kumrudia, nimetokea kumchukia.

Jambo linalonisumbua zaidi kila ninapoanza mahusiano mapya hua nashindwa kuendelea mbele, hofu ya kwamba huyu atanifanyia kama yule inanijia mara kwa mara na matokeo yake nakua sababu ya kuvunjika uhusiano huo.

Wapendwa nifanye nini kukabiliana na hali hii ya pili? Ninatamani sana hali hii iniondoke. Karibu kwa mchango wako kimawazo.
Kwenye makosa ya kiuandishi mnisamehe maana natumia simu.

Valentina! You were advice me last time about this in one of the thread, but now you tell whaat?
OMG kwel dunia hadaha.... pole sana aisee, ndo maana bado niko na msimamo wangu wa kutojaribu kuamin mtu (Mwanamke).
 
Ha haa huo msimamo hebu ufute bana. Aogopacha mtu ndicho kimpatacho

BTW huu Uzi ni wamuda mrefu,nshapita huko
 
Kwa ufupi dada huyu kwa mliosoma Sexology au Psycholoy ya mahusiano HAWEZI KUMUACHA HUYU MSELA NA NDIYO MAANA AMEKUJA KWENU ila kwakuwa Watz.mlio wengi mnamawazo ya mwendokasi kama kawa bila kutafakari mnachokisema au kilichosemwa au kuandikwa mnakurupuka na kutoa yenu ya moyoni au akilini TU.
Kwa maana kama angelikuwa hampendi na hataki kurudiana na msela wake wa zamani asingelikuja humu JF ku ask again,kwa ufupi hapa mnatwanga maji kwenye kinu maana kwanza hawa chura sasa hivi ni wengi in reality kuliko wanaume.
Yaani Man To Many au Many Women/Girls to Man.
Siyo ninawadharau papuchis ila ni nyeupe hii ninawapa kwa mnaofumba na kuziba masikio kwa kujifanya.
Zaidi hii ni dunia yenye ushindani wa kila kitu,hivyo sote tunapaswa ubunifu na usanifu kwenye nyanja zote achilia mbali mapenzi.
Ni hivi kuna mapungufu huenda yalitokea kati yenu na kukosa busara either yamesababishwa na mmoja wenu kwa kujua au kuto kujua na kutoa mwanya kwa kicheche kumchukua kifaranga na hatimaye ameshindwa kumla na kumtapika.
My Take Now: Wewe Mrembo kaa na mwenza wako aliye kusaliti akupe sababu na hatimaye myamalize wenyewe na kupeane ahadi upya na hatimaye kuwa wa moja tena,kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Ni rahisi mkaishi na huyu mwenzawako kuwa mnajuana tabia kwa sasa na madhaifu pamoja na uimara wa kila mmoja wenu na endapo utakaidi shauri yako kwani hakuna vijana waliotulia kwa sasa abadani zaidi ya kuhangaika na kujiua mwishowe kwa magonjwa au pressure ya maprnzi kwa kutumika na kuachwa tu.
Mkapime msameheane na mfunge ndoa Mungu awabariki na kuwasamehe dhambi zenu zote zikiwemo za ngono za awali hadi mnaumizana kwa kutoana bikra kabla ya muda wake na kama uko Dsm badilika maana huku ni uozo mtupu.
Dude get a grip on urself, the bloody thread is 2 years old.
 
Acha tu mkuu,siku hiyo Mungu anisaidie niisahau mana ni moja kati ya siku ngumu sana kwangu
Huyo jamaa anatokea mkoa gani, kabila gani? Mtu kama huyo usimfuge hata kidogo, kaa nae mbali saana usijibu hata text yake muunfriend Fb, mu unfollow insta futa no yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom