Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Ma dya em jijengee kitu kimoja, jipe imani kwamba when things don't work out for you, amini kwamba that thing was not meant for me. Hata mwanaume akikutenda, jiaminishe kwamba, probably this is not my dream man. Mungu hajanipangia huyu

Sikushauri urudi kwa ur ex, coz kama tu sasa hivi ukitokewa na mtu mwingine unaogopa atakutenda kama ur ex, sidhani kama utaweza kumuamini tena huyo ex wako given that ashakutenda. So just let go of him. Fungua ukurasa mpya wa maisha yako. NOT ALL MEN ARE THE SAME

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sawa babu,nimekuelewa mjukuu wako.

Narudia tena, usithubutu kumrudia. Wanaume kucheat ni jadi yetu, lakini huwa tunacheat kwa kuiba kama kweli tumependa. Ukiona mwanaume anakucheat mchana kweupe tena kwa shosti wako ujue hakupendi.

Kwa taarifa yako kakuponda sana kwa shosti yako. Na ukimrudia ujue atakuponda tena kwa mwingine atakayekucheat naye.

Kifupi ni kuwa HAKUPENDI.
 
taratibu BABU,,, NI KAMA UNA SUMMARISE CONTENT YA THREAD NZIMA...twende POLEPOLEEEE...MAPENZI HAYANA MMILIKI.
 
Pole sana ila usijaribu kurudiana na huyo tapeli wa mapenzi,kwa kua shoga ako anarudi kwao ndio anakuona wa maana?akipata mwingine atakuacha tena,songa mbele,piga moyo konde!kumbuka hujazaliwa nae umemkuta kakomaa na meno 32!
 
pole sana mdada!!

mahusiano ya enzi hizi za popo yana kazi kweli kweli!

rather, uwe na moyo wa chuma haswaa!!

just love, assume kutendwa ni sehemu ya matokeo ya mchezo!
 
Wapo wengi wenye tatizo kama lako binafsi mi naona mwanzo na mwisho wa tatizo lako nn wewe mwenyewe fanya uamuzi tu utashinda pambana na hiyo hali accept kuwa si wanaume wote matapeli

Ushuri wako unamakosa, ckweri kwamba wanaume wote MATAPERI isipokuwa wanawake mmnasababisha wanaume wawe mataperi baazi . mmezizidi mno kuwa maombaomba sakumi unamwita m2 anakuja anakwambia hera ya usafiri, anakaa anakwambia baby cjala, nachukia kuelezea ,,,, chamsingi aache kuriaria rakini afaham kuwa wanaume wapo.
 
Hii msg inakufaa. Be real face life. Forget the past. Kama unafanya kazi fanya sana as if nothing happened. You will develop your real you. Na maisha yatasonga. Trust your innerbeing. Mungu atakusimamia

Eimeen....
 
Da! dada pole jaman!, ila na ww kwa namna moja ama nyingne na ww utakuwa umechangia! kikubwa na huyo rafk yako na yy ni wa kulaumiwa!
 
Mapenzi ukiyachukulia too serious lazima yakutende Valentina. We kama huna mtu rudiana nae tu muendelee kula fun... wanaume ndivyo tulivyo.
 
Last edited by a moderator:
Jitahidi kusahau mahusiano ya kwanza , na pia usimweke sana akili na kumlinganisha na kila mwanaume unayeanza nae mahusiano.
 
Mapenzi ukiyachukulia too serious lazima yakutende Valentina. We kama huna mtu rudiana nae tu muendelee kula fun... wanaume ndivyo tulivyo.

Mmh,bora niwe single jamani
 
Last edited by a moderator:
Kwanza pole kwa yalio kukuta pamoja na kunyang'anywa tonge mdomni. Kwajinsi ulivyo jieleza minahisi huyo brother bado unampenda na kimsingi anatambua Kuwa hauna ujanja kwake na tayari umeshakiri Kuwa unampenda tatizo ni yeye kumchukua rafikiyako. Ushauri Wangu, Fanya like roho inapenda. Tahadhari, kwa kujiweka tayari kupata maumivu mengine iwapo utarudiana na huyo jamaa
 
Mmh,afu hiyo avatar yako inatisha bhana
 
Ukweli mapenzi yakigeuka inauma sana hasa Kama ulimpenda ukamthamini unaweza kuapa kutopenda tena msamehe ila uwe makini ht mm yalishawahi kunikuta nililia Sana japo naishi nae lkn kuna kitu kimeingia kwenye roho ambacho hata anitendee zuri cwz kumuamini tena
 
Back
Top Bottom