Kutembea na mume wa mtu

Wakwangu wa pekeangu hayupoooo! Abgeobekana ningemtaka wakwangu
 
et hata kama mume wa mtu sumu hawaogop maana maziwa wanayo
 
Kama kutembea hutaki, je wakipanda bajaji kuna ubaya? Maana hili joto hapa town kwa kweli halifai kutembea
 

Kizuri unakula na nduguyo mama, hiyo ni diversification of risk, hutaki kupunguziwa mzigo au wewe mnyamwezi
 
Hahaha, ukisikia PAA ujue limempata,..
 
hakuna mwanaume wa kwako peke yako
 
Kabisa. Na hiyo ndio njia sahihi kuliko kukurupuka mana wengine hawachelewi kudhalilisha wake zao kwa makosa yao wenyewe.

Pia hakuna haja ya kushindana na huo mchepuko kwani kwa maisha ya sasa atajiumiza kichwa bure mana katika michepuko 10 yenye adabu labda 02.
 
kabisa mwanaume ukimpuuza anaumia sana anahisi anakijamaa anapiga .. kwa hiyo yeye ndiyo inauma ila ajikeep busy na smart tena zaidi ya alivyokuwa na aendelee kufanya mawasiliano kama kawaida
 
Dada Poleee...ongeza utundu umbakishe mumeeee...waume ni kama paka hata umpe samaki akimuona panya tu lazima amtolee udenda!
 
[emoji13] [emoji13] [emoji115]
Povu.. Washamdhulumu
 
kabisa mwanaume ukimpuuza anaumia sana anahisi anakijamaa anapiga .. kwa hiyo yeye ndiyo inauma ila ajikeep busy na smart tena zaidi ya alivyokuwa na aendelee kufanya mawasiliano kama kawaida
Inategemea na moyo wake mumy kuna wengine hawawezi lakini kumpuuza mtu ni bonge la dawa unamuacha anahangaika kukutilia mashaka kumbe huna lolote umeamua kumpuuzia.
 
Kibaya zaidi akiwa anampa huyo mumeo mtandao pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…