KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,243
- 5,010
Mkuu wanafaidi kama wanafunzi wanaotafunwa wanajielewa.Ikitokea jua ni bahati mbaya ..
Ila walimu kuna sehemu zao wanafaidi sana mkuu
Mimi shule niliyosoma advance mkuu alikuwa anatafuna wanafunzi kama kichaa lakini kwakua wanafunzi wanajielewa ni fresh tu.
Ukutane na vitoto sasa ndo utajua hujui.