Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

Maneno huumba, tujifunze kuwa na uchaguzi wa maneno......

"nikamateni..... mniue..... mnitupe darajani....siogopi"
Maneno kama Haya yanaweza kukupata kweli.....

Watu wa Imani tunafundishwa kuwa makini na Yale tuongeayo
 
jamani namuona uyo mrisho mpoto apo ni mnafiki kama mna mipango muihu juu ya hili swala si wakumshilikisha uyo...
 
Yanayojiri kutoka kwenye mkutano Mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na wanafamilia na producer wa Roma_Mkatoliki unakaribia kuanza na camera zetu zipo hapo.
View attachment 492358
Mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na wasanii, producer na wanafamilia wa Roma_Mkatoliki umeshaanza. Waandishi wako kwa wingi sana.

Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva waliohudhuria kuzungumza na waandishi wa habar juu ya ufumbuzi wa msanii Mwenzao [HASHTAG]#Roma[/HASHTAG]




[HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG] [HASHTAG]#FreeMoni[/HASHTAG] View attachment 492362
Nitaanza kuweka updates live kuna jambo naweka sawa.
Mke wa Roma mkatoliki akishindwa kujizuia kulia mbele ya waandishi akitaka msaada wa kutafutwa.

Mke wa Msanii Roma Mkatoliki anashindwa kuongea analia anaiomba serikali kumtafuta mume wake na baba wa familia Roma Mkatoliki.

Anayezungumza muda huu msanii Mrisho Mpoto akiomba msaada wa kutafutwa msanii Roma Mkatoliki.

- Fid Q amewataka Watanzania kuacha kuhusisha tukio la kukamatwa kwa ROMA na mambo ya kiasiasa na wasubiri hadi pale ukweli utakapojulika.

Fid q mnafki mazafanta

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo la kushangaza kwa nchi ambayo inaamini ktk utawala bora na demokrsia watu kupotea hawa si mbuzi ni WATU tutafautiana sana tena kwa mengi lkn tukifika kuona kupotea MTU ni jambo LA kawaida hakika kama taiga tutaangamia.Mamlaka husika zichukue hatua.
 
Jamani tunaomba aliye aliyeleta leta huu dongo wenye dhambi tz ,mwambieni aturudishie udongo wetu,jamani hii Tanzania ya nyerere,karume,sokoine,kawawa??. au ndo tuseme digitally au nn??.@free roma and mon jamani,waachieni

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Acheni kupotosha uma nyie wasanii mna kuwa wanafiki. FidQ acha unafiki Ukweli nikwamba Roma katekwa na watu wa mtukufu baada ya kutoa wimbo unaozungumzia mambo yanayo fanywa na mtukufu mbona mnakua mabubu hamtaki kusema ukweli lini mtaendelea kujipendekeza kwa serikali isiyo wajari ? Ney alipo kamatwa nakuachiwa namtukufu nikwasababu mtukufu alisoma nyakati kuwa akimkamata ney atajialibia sifa ndani nanje ya nchi. Sasa wamebadili gia nikuwateka wote wanaosema ukweli nakuwapoteza . usisheni matukio .Rema kua ndani miezi minne kisa kusema ukweli wake Ben saanane kupotezwa, Lijualikali kufungwa. Lisu kukamatwa kwa uchochezi. Jiulizeni wimbo wa Roma na wimbo wa Ney vinatofauti gani......... Tulio namacho tunaona yanayo tendeka nchini natupo wachche wengi bado mpo gizani...... Mtakatifu kavaa roho yakishetani hajari utu wamtu wala hajari sauti za watu zinazolia ...... Wasanii wote amkeni mpaze sauti mkisubilia Roma atafutwe na serikali hatapatikana daima kitakachofuata watamuua . na mwisho wa siku hatapatikana kama bern. Baada ya muda mtaskia mtu kaokotwa amekufa na mwiliwake umeharbika vibaya ...... Mnaficha nini ? Taifa mmejaaa uoga kila kona dah! Semeni ukweli hainahaja ya kumsifia mkuu mwambieni ukweli kuwa anatukosea watu wake . simuda wa kuficha fichueni yalio fichika ulimboka alitekwa naye alipo patikana hakuusema ukweli kwa kuogopa kuuwawa. Acheni unafiki
 
Intelijensia Ya Polisi iko Imara Kuzuia Mikutano Ya CHADEMA Lakini haiwezi kuzuia Utekwaji wa Watu unaotokea Kila Siku !!
Police ya Leo si kwaajili ya wananchi bali kwaajili ya ccm kama walimtishia nape bastola na hakuna hatua zilizochukuliwa utasema tunapolice.
 
Jioniiiiiiii Ndo utaona kweny Twiter ya Wazr mwenye Dhaman et Amesikitishwa na Tukio, Shkamoo Mshika rungu
 
Back
Top Bottom