Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

Daaaa siamini bado kama kweli Roma na wenzake hawajapatikana walipo toka jana, kweli nimewaza kwa uchungu sana, eeeh Mwenyezi Mungu wajalie huko waliko wawe salama.
ukawaza kwa uchungu halafu ukalala!! stupid

halafu utaona nimekutukana

watanzania mnaongea sana kama wanawake tu, kwani unaingia lini mp?
 
Back
Top Bottom