Mh Raisi J. Kikwete anategemewa kutangaza rasmi Arusha kuwa jiji. Jambo lililonishtua ni kwamba tamko hilo litafanywa rasmi kwa kukata utepe pale mnara wa mwenge kulikofanyika uzinduzi wa Azimio la Arusha.Sasa ndugu JF baada ya uzinduzi huo,mnara huu utakuwa na kumbukumbu ya kitu gani?!,Azimio la Arusha au kumbukumbu ya Arusha kutangazwa kuwa jiji?!