Kutangazwa Arusha kuwa jiji

This is yet again just too low a way to seek cheap popularity for the corruption-ridden CCM wrong-side table cloth.
 
Nashangaa wanaoshangaa Arusha kuwa jiji! Tanga,Mbeya? Alafu mnajua Mwanza imetangazwa jiji lini? Mnajua Mwanza ilikuwaje kipindi hicho? Barabara mnazoziona leo Mwanza zilikuwa kama zilivyo? Tukubaliane Kibongo Bongo Arusha ni Bonge la Jiji.
 
Wakuu,Dodoma nayo itatangazwa jiji lini ? Maana kuna kipindi ilivuma kuwa jiji.
 
Dodoma sidhani kama leo au kesho. Naona michakato inaanza coz stand wanataka waipige jerk thats why pale wameiamisha, pia jamatini stand ya daladala wameiamisha.. kwahiyo tujipe moyo labda 2015 hivi
 
Dodoma sidhani kama leo au kesho. Naona michakato inaanza coz stand wanataka waipige jerk thats why pale wameiamisha, pia jamatini stand ya daladala wameiamisha.. kwahiyo tujipe moyo labda 2015 hivi

Dodoma si ilishatangazwa kuwa jiji siku nyingi sana enzi za mkapa? huu mtindo wa kuzindua majiji nao umeanza lini jamani, au ni kutafuta matukio ya kisiasa tu!
 
Natafuta deal ya kufanya once Arusha ikiwa na hadhi ya Jiji (Forecast 10yrs to come)....
 
Padri wenu juzi kaumbika igunga mkakodi coster mbili kutoka igunga ,choma na nkinga anayebisha ajitokeze chezea igunga wewe anahutubia watu bize na kazi hahahaahahaha hadi kasulumbai akasema igunga hali imekuaje mbona tunaporomoka eti wanapanga kuja ku M4D kwa mwezi watu sio wamechoka porojo
Wewe Nape anakulipa shilingapi?manake unaropoka sana
 
Ukitoka tu pale kia, king'ori, maji ya chai,usa,tengeru,mpaka tao mji umejengwa holela hakuna sehemu iliyopangika uzuri kama njiro...inabidi wajaribu kupanga maeneo ambayo hayajaendelezwa sana, inastaajabisha nyuma tu ya mataa ya mianzini kuna nyumba za mbavu ya naniii....!
 
Mkakati hasi wa ccm kuiteka arusha umekwama baada Mungu kuwaaibisha magamba. Nimezubguuka mjini Arusha nikaona watu na sare za ccm ktk uzinduzi wa jiji kwani hili ni jiji la ccm ama la Arusha lenye wakazi wenye itikadi mbalimbali?
Mungu leta mvua, sambaratisha mafisadi hawa na harakati zao za kutaka kutumia jukwaa la walipa kodi kujinufaisha kisiasa. leta mvua leta mvua.
WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU. Na Mungu hatatuangusha mbele ya adui zetu bali atatuinua.
 
Hilo swali nimemuuliza journalist mmoja nguli mpaka sasa hajanipa jibu lolote. Mi nakumbuka ilipopandishwa Mwanza sikusikia kama kulikuwa na hafla yoyote, na hata baadae Tanga na Mbeya sasa sijui Arusha ina nini la maana mpaka ufanyike uzinduzi?

Hao bila kuwapa bahasha wanasema kitu kweli?
 
Back
Top Bottom