Ushabiki upo , kuwa die hard fun tunakubali , but ukweli ni ukweli , na ukweli ni kwamba s5 is not surprising (haina invention za maana kwa maana ya kutoka s4 na kwenda s5 , , mfano mzuri ilipotoka s4 issue kubwa ilikuwa ni air gestures na kila advert ya samsung waliionesha , ilivotoka lumia 920 issue ilikuwa wireless charging n.k .. Sa hivi wanachofanya ni kuhadaa customers (creating demands /wants ) but in reality s5 haileti issue ya muhimu saaana kivile ( does not make any difference )
Kwa wenzetu (us and the like ) haitaharibu budget sana coz wao wananunua kwa contract so mtu anaweza kuwa na flagship zote na akawa anazilipia mdogo mdogo ,
My take : naona kama technology inakosa creativity ya mtu kama steve jobs (RIP) , hapa nakumbuka kwenye introduction ya iphone ya kwanza 2007 steve alisema iphone ilikuwa product iliyokuwa determined kukaa sokoni kwa miaka mitano (na ndo kilichotokea ) ,, hawa kina samsung wanatoa leo na kesho so i dont think if they get enough time to create something new rather wanakuwa driven na market . .
Competitors; nokia wameeita samsunga s5 kuwa ni SAMESUNG (ile ile ) kwenye tweet yao ..... Sasa nawangojea na wao kama watatoa flagship ambayo itakwepa hiyo SAMESUNG Joke . ,
"From tz with true luv"