Simu Mpya za kisasa Samsung na Iphone Original kwa Bei Rahisi

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
Ninauza simu mpya za kisasa toka nje ya nchi kwa bei nzuri kabisa. kama unahitaji unaipata ndani ya siku 5- 7 unaletewa ulipo. utaratibu ulivyo ni kuwa utatoa Advance kiasi ambacho tutakubaliana ili niweze kuwa na uhakika kuwa hiyo simu ikilietwa utaichukua. maana tunaagiza toka Nje ya Nchi moja kwa moja inakuja ikiwa kamili na kila kitu chake. Ni simu original hazina ujanja ujanja. Unazipata kwa Bei nzuri kabisa. Single Line.

kwa mawasiliano zaidi please Inbox ili tupeane mawasiliano zaidi. au kama utakuwa tayari tuwasiliane kwa text sms/whatsapp au call kwa namba hii 0714160222. eleza katika simu hizi unataka ipi. na pia tunaweza kuonana ikiwa upo Mijini/Posta.

SAMSUNG BEI
Samsung Galaxy S2 - 280,000
Samsung Galaxy S3 - 300,000
Samsung Galaxy S4 - 340,000
Samsung Galaxy S5 - 380,000
Samsung Galaxy S6 - 460,000
Samsung Galaxy S6 Edge - 460,000
Samsung Galaxy S7 - 600,000
Samsung galaxy S7 Edge - 780,000
Samsung Galaxy Note - 280,000
Samsung Galaxy Note 2 - 340,000
Samsung Galaxy Note 3 -
16GB - 400,000
32GB - 410,000
Samsung galaxy Note 4 - 430,000
Samsung galaxy Note 5 - 580,000
Samsung galaxy Note Edge - 560,000

IPHONE
Iphone 5s 16 GB - 470,000
Iphone 5s 32 GB - 480,000
Iphone 6s 16 GB - 630,000
Iphone 6s 64 GB - 680,000
Iphone 6 plus 128 GB - 960,000
Iphone 6s 16 GB - 730,000
Iphone 6s 64 GB - 830,000
Iphone 6s 128 GB - 900,000
Iphone 6s 64 GB - 1,130,000
Iphone 5s 128 GB -1,180,000
 
Nahisi utakuwa dalali!!Una bei kuliko hata wanaoaminiwa na wanunuzi!Ndio wewe unayetaka Advance kwanzaa!Si kulizana huko,nikupe hela kwanza advance wakati sijui simu naipata lini kuna tofauti gani na Forex sasa?
 
Acha kuifananisha forex na vitu vya ajabu
 
nitakuamini vipi baada ya kukupa pesa yangu in advance kwamba nitapata mzigo? utaweka dhamana kitu gani?
 
Ninauza simu mpya za kisasa toka nje ya nchi kwa bei nzuri kabisa. kama unahitaji unaipata ndani ya siku 5- 7 unaletewa ulipo. utaratibu ulivyo ni kuwa utatoa Advance kiasi ambacho tutakubaliana ili niweze kuwa na uhakika kuwa hiyo simu ikilietwa utaichukua. maana tunaagiza toka Nje ya Nchi moja kwa moja inakuja ikiwa kamili na kila kitu chake. Ni simu original hazina ujanja ujanja. Unazipata kwa Bei nzuri kabisa. Single Line.

kwa mawasiliano zaidi please Inbox ili tupeane mawasiliano zaidi. au kama utakuwa tayari tuwasiliane kwa text sms/whatsapp au call kwa namba hii 0714160222. eleza katika simu hizi unataka ipi. na pia tunaweza kuonana ikiwa upo Mijini/Posta.

SAMSUNG BEI
Samsung Galaxy S2 - 280,000
Samsung Galaxy S3 - 300,000
Samsung Galaxy S4 - 340,000
Samsung Galaxy S5 - 380,000
Samsung Galaxy S6 - 460,000
Samsung Galaxy S6 Edge - 460,000
Samsung Galaxy S7 - 600,000
Samsung galaxy S7 Edge - 780,000
Samsung Galaxy Note - 280,000
Samsung Galaxy Note 2 - 340,000
Samsung Galaxy Note 3 -
16GB - 400,000
32GB - 410,000
Samsung galaxy Note 4 - 430,000
Samsung galaxy Note 5 - 580,000
Samsung galaxy Note Edge - 560,000

IPHONE
Iphone 5s 16 GB - 470,000
Iphone 5s 32 GB - 480,000
Iphone 6s 16 GB - 630,000
Iphone 6s 64 GB - 680,000
Iphone 6 plus 128 GB - 960,000
Iphone 6s 16 GB - 730,000
Iphone 6s 64 GB - 830,000
Iphone 6s 128 GB - 900,000
Iphone 6s 64 GB - 1,130,000
Iphone 5s 128 GB -1,180,000
Hakuna biashara ya aina hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom