Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
fafanua mkuu. kivipi
Kwa uzoefu wangu mkuu iphone ni far better than samsung. .. in operation
fafanua mkuu. kivipi
Waliisifia sana S4 nikajichanganya. I really miss my iphone... Android bado ni cha mtoto sana kwa iOS
RAM yake ni 3GB au 2GB?
Dont speak kiushabiki.Tuambie kwa lipi??
Mwenzetu anapambanisha OS sisi tunazungumzia Smartphone.
Bei yake sasa, 2takimbizana
Kwa hiyo wameamua kuiga simu za Sony kwenye water proofing? Xperia rules
Hivi hujaona Sony Xperia? Zinazama kwenye maji zikiwa na tundu kubwa la headphone pamoja na vidirisha vya spikakama inazama kwenye maji bila maji kuingia ndani....
Ina maana haina speaker?
Au!
Hapo wameenda branda bila chenga yaani, S5 looks like S4 i9506 ni Minor changes ndio wamefanya,
Pia inawezekana jamaa wakaleta Galaxy S5 Prime hii ikawa na features zote tulizo tegemea kama QHD na mengineyo, ukiangalia utaona hakuna Exynos Variety hapo sudhani kama Samsung wameamua kuachana na Processor zao hii inaendelea onesha kua kuna another S5 is coming
Mwisho wa yote Samsung wameenda Kombo/Chaka