Kuna kitu kinaitwa MAHABA; Hata kama kitu kikiwa kizuri au kibaya namna gani ukiwa na mahaba au kutokuwa na mahaba nacho then lazima utakipepelea au kukiponda tu. Then kuna kitu kinaitwa ushabiki, ukiwa shabiki wa Iphone, Sony au Samsung then hata kama unaona kabisa Nokia kakuzidi hutakubali hata ukiwekewa kisu shingoni. Mi naamini hivi, anything no matter how small it is kimeongezwa au kitaongezwa kwenye any new flagship coming I will call it new. Umasikini wetu usitufanye tuwe wachambuzi wazuri saaana hivi kwasababu I believe wenye uwezo wa kuwa nazo wala hata huwa hawaangalii ina nini ila ni kipi kipya