Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Waliisifia sana S4 nikajichanganya. I really miss my iphone... Android bado ni cha mtoto sana kwa iOS
hawa watu wanacheza na vichwa vyetu.........hiyo S4 watu hata hatujamaliza kusuuza nayo kitaa wanaleta hii........nkt.....IOS nadhani haina mpinzani..........