kutana na Samsung galaxy s5

kutana na Samsung galaxy s5

Mmejaribu kuzungumzia bei?? Sijaona mtu amention price. Range ya price inakadiriwa kuwa ngapi?
 
Lagging ni term pana ila waweza sema ni kuchelewa kurespond au apps kuwa nzito kufunguka au kufunguka kwa mnato.
utadhani umefungua file lenye size kubwa na machine ina uwezo mdogo. unaweza bonyeza home screen na icons za apps zikaanza kuja moja moja utadhani unatumia tecno kumbe ni s4..dah
kwa samsung nadhani bado wameshindwa kufanya intergration nzuri kati ya os na hardware kitu ambacho apple wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa.

ku lag ni shida ya samsung ama operating siystm. nimekuuliza swali kwa makusudi kuwa utagundua hilo. android ina nature ya kulag sasa hakuna mantiki kuiponda samsung na wakati lg sony na wengine zina lag
 
battery life, durability, UI, OS,
nakataa umevitaja tu vitu bila kutoa ulinganifu wa vitu viwili ili niamini usemayo ni kweli

battery umeambiwa itakaa hata masaa 24 ikiwa kwenye mode ya kusave power
durability sijui umetumia vigezo gani
ui si umesikia wiztouch wameikarabati iwe user friendly
os hapo nakubaliana nawe kiaaasi kwa mbaaaali ila still ni vigumu kuwa na os ambayo inatumiwa na device zaidi ya 1000 tofauti na ikawa stable
 
Na wewe unakubali kabisa itakaa masaa 24? Na 2800 Amh? Lumia 1320 ana 3400 Amh nayo itakaa masaa mangapi vile?

Nokia ni durable in hardware - hii ni Fact
 
Na wewe unakubali kabisa itakaa masaa 24? Na 2800 Amh? Lumia 1320 ana 3400 Amh nayo itakaa masaa mangapi vile?

Nokia ni durable in hardware - hii ni Fact

hao sio tecno. wameitest na wamethibitisha. kama haikai na chaji kwann watudanganye. samsung ni brand kubwa wakidanganya kidogo tu watashukiwa na sio tu nokia kwa udaku wao wa twitter bali kila mtu asiyeipenda
 
same cheap plastic looks!..oh, naona wameiga fingerprint scanner! apple rules.
 
Apple perfected it, samsung naona wanafuata nyayo!:baby:

samsung wanafata nyayo za nani? apple? if yes. umekubali kuwa samsung perfectes it also but apple wameanza kabla yao. both of them sio wa kwanza. yalikuwepo ma dumb phones zamani yalikuwa na fingerprint
 
Apple perfected it, only then samsung ndiyo wakaona potential!
 
Samsung atasubiri sana kwa BlackBerry

Du blackberry ni uku kwetu tu mkuu, nchi za wenzetu mfano scandnavian country huwezi ona kitu inaitwa blackberry hata kwa dawa, ni mwendo wa iphone na samsung tu.
 
hao sio tecno. wameitest na wamethibitisha. kama haikai na chaji kwann watudanganye. samsung ni brand kubwa wakidanganya kidogo tu watashukiwa na sio tu nokia kwa udaku wao wa twitter bali kila mtu asiyeipenda

wanaojua simu wanatumia either nokia au iphone far better google nexus
 
Smartphones nyingi zilikuwa sina bore charge...nipo na HTC butterfly s.....25hrs is just good to me.

Am nokia fan...tatizo Ni OS...wakianza kutumia android nitawafikiria.

We umechagua simu ya ukweli, htc butterfly s wamefaulu kidogo kwenye battery, mi mwenyewe ni fan mkubwa wa nokia ila wamenidisappoint kwenye OS, ki ukweli OS ya WP siipendi na sitarajii kuja kununua simu yenye OS ya WP
 
Back
Top Bottom