Kutana na mapacha wanaochangia bwana na kulala kitanda kimoja

Kutana na mapacha wanaochangia bwana na kulala kitanda kimoja

Aisee wanatumia jeki ya kampuni gan hawa?? Nina imani inanyanyua mpaka fuso.[emoji16][emoji16][emoji16]

1469395186064.jpg
 
Wabongo bana! Huyu jamaa anafanya zinaa na mtu na dada yake! Its ok , ila kwa muislam kuwa na wake wawili anadhalilisha wanawake! smh
 
View attachment 370532Ben kakaa kama ngangaripoa
Jamaa atakuwa anatumia hata mkuyati kuboost mashine apige mzigo pasu kwa pasu!!Ila kama wana-share mpaka hisia,kuna uwezekano mmoja akiwa anatafunwa huku mwingine naye anapata raha...Wale Wazungu wa Ureno wakianza kutoka wote wanapata nafasi ya kufika kilele cha Kibo na Mawenzi
 
Angewaambia watoe hayo madude machoni yamewaharibikia
 
Back
Top Bottom