Kutana na mapacha wanaochangia bwana na kulala kitanda kimoja

Kutana na mapacha wanaochangia bwana na kulala kitanda kimoja

Jamaa atakuwa anatumia hata mkuyati kuboost mashine apige mzigo pasu kwa pasu!!Ila kama wana-share mpaka hisia,kuna uwezekano mmoja akiwa anatafunwa huku mwingine naye anapata raha...Wale Wazungu wa Ureno wakianza kutoka wote wanapata nafasi ya kufika kilele cha Kibo na Mawenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uki_zoom picha namba 1 mpaka 4 hasa kwenye uso wao na kuangalia kwa umakini kwenye ukingo wa nywere na paji la uso unaweza gundua siyo real image but wamevaa kitu kama masks!.
 
Mwazo nilijua wamegandana kumbe wala..mh! wana moyo.
 
utakuta msela bado anachepuka licha ya utajiri wote huo wa mahaba
 
hawakufanana ila aliyewafanyia upasuaji ndio kawafananisha
 
Jamaa atakoma, itambidi awe fiti kuwatosheleza wote wawili!
 
Back
Top Bottom