The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,749
- 28,417
Maskini lazima aowe maana hana guarantee ya kuacha chochote cha maana kwa wanae atakaowazaa zaidi ya kuishi nao akiwafundisha ukakamavu wa kupambana na maisha tofauti na DiCaprio hata akiwa na watoto kumi akadondoka leo watakuwa na uhakika wa kula kulala na kusoma za baba yao zikiisha wanakula ruzuku ya serikali.Kwahiyo maskini ndo wanatakiwa waoe?
Sasa bongo mtu ni chinga maisha anaunga unga hana uhakika hata wa kula yake ya kesho lakini anataka azae watoto randomly na wanawake tofauti tofauti zaidi ya kutujazia chokoraa mtaani siku akifa kuna kingine?