Kutana na jamaa anayeongoza kampeni ya #KataaNdoa....

Kutana na jamaa anayeongoza kampeni ya #KataaNdoa....

JamiiForums1709643988.jpg
 
Hii inaitwa IGA UFE, aka "don't try this at home".
Ana pesa ndefu inayomfanya aishi maisha ya aina yoyote anayotaka, ana maisha huru, anaishi katika nchi ambayo ina utamaduni unamruhusu kuishi hivyo na hali hiyo inampa jeuri ya kuvuta mwanamke yoyote anayemtaka duniani. Sasa wewe unayeishi Tandale kwa Mtogole, Mtoni kwa Aziz Ali, Makongolosi Chunya, au pale Mbauda La Chuga, unayepiga kampeni ya "Kataa Ndoa" nakuambia "Ya Kuambiwa Changanya Na Ya Kwako"
 
Back
Top Bottom