Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,903
Kwa kuiga hatujambo,hata humu kuna hiyo movement,kama hutaki kuona kwahiyo unataka kuolewa wewe?
ulimpigiaga nyeto eehRomeo& Juliet....mwamba alikuwa na mvuto huyu🙌
Action zake ziko poa sana.....zinaamsha hisia😊😊😊 ukimtazama tu unalowaaa eeeh
Ndoa lini mkuu tuje kula mpunga au na wewe team moja na dronedrakeBora yeye anawaacha na sio kuwa nao tu
Kajitegeshe huezi jua[emoji276]Romeo& Juliet....mwamba alikuwa na mvuto huyu[emoji119]
Maisha ndio haya haya hakuna mengineAction zake ziko poa sana.....zinaamsha hisia
Noo,yule analeta hisia Fulani hivi Kwa Mwili...siyo nyege ila smooth feelingsulimpigiaga nyeto eeh
SawaKajitegeshe huezi jua[emoji276]
Yeah, that's itMaisha ndio haya haya hakuna mengine
[emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960] balaaHAHAHAHA
Hataki kutapeliwajamaa genius sana, kasanuka toka kitambo kumbe
🤣🤣🤣 Umekuja sasaHataki kutapeliwa
anachakata mbususuHataki kutapeliwa
Nyuzi pendwa kama hizi nakosaje To yeye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umekuja sasa
Hadi kwenye Ile movie ya 'titanic' aliiwezea balaa[emoji23]Noo,yule analeta hisia Fulani hivi Kwa Mwili...siyo nyege ila smooth feelings
Huu ndo uanaume waoga ndo wanaingia mazima kwenye ndoa na kujitafutia matatizoanachakata mbususu
ikivuka mileage flani, tupa kule
safi sana
Anampenda sana mama yake.Sema anaona akioa ni kama mwanamke mwingine atachukua nafasi ya mama yake kwenye moyo wake.Siku mama yake akifa,ataoa tu.Huyu jamaa ni mwigizaji maarufu huko marekani, anaitwa Leonardo DiCaprio, ana miaka 48 na hajaoa wala kupata mtoto.....
View attachment 2582994
Hali hii imemjengea umaarufu kwasababu imeonekana ameingia kwenye mahusiano na zaidi ya wanawake 27, lakini anatabia ya kuachana nao punde tu watimizapo miaka 25.....
Anadai kwamba wanawake wa umri huo wanataka kutulia na kuolewa, kitu ambacho yeye hapendelei....
View attachment 2582997
View attachment 2582998
View attachment 2582999
Alipoulizwa kwanini hajaoa mpaka sasa alisema 'ndoa haitabiriki'....
Mwanzoni mwa mwaka huu alionekana akiwa karibu na binti wa miaka 19, watu mitandaoni wamekua wakishangaa sana na kuuliza maswali kuhusu hili....
View attachment 2583000
Bwanaee mi niko poa kabisa. Aje kipande hiyo?🤣🤣🤣I knew it....uko poa lakini?