Kutana na jamaa anayeongoza kampeni ya #KataaNdoa....

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
22,269
Reaction score
71,920
Huyu jamaa ni mwigizaji maarufu huko marekani, anaitwa Leonardo DiCaprio, ana miaka 48 na hajaoa wala kupata mtoto.....

images.jpg

Hali hii imemjengea umaarufu kwasababu imeonekana ameingia kwenye mahusiano na zaidi ya wanawake 27, lakini anatabia ya kuachana nao punde tu watimizapo miaka 25.....

Anadai kwamba wanawake wa umri huo wanataka kutulia na kuolewa, kitu ambacho yeye hapendelei....

images%20(1).jpg

images%20(2).jpg

images%20(3).jpg

Alipoulizwa kwanini hajaoa mpaka sasa alisema 'ndoa haitabiriki'....

Mwanzoni mwa mwaka huu alionekana akiwa karibu na binti wa miaka 19, watu mitandaoni wamekua wakishangaa sana na kuuliza maswali kuhusu hili....

b1c655167dca4b007413e8cb05cc40f178-bgus-2559228-003-leo-dicaprio-.jpg
 
Huyu jamaa ni mwigizaji maarufu huko marekani, anaitwa Leonardo DiCaprio, ana miaka 48 na hajaoa wala kupata mtoto.....

View attachment 2582994

Hali hii imemjengea umaarufu kwasababu imeonekana ameingia kwenye mahusiano na zaidi ya wanawake 27, lakini anatabia ya kuachana nao punde tu watimizapo miaka 25.....

Anadai kwamba wanawake wa umri huo wanataka kutulia na kuolewa, kitu ambacho yeye hapendelei....

View attachment 2582997

View attachment 2582998

View attachment 2582999

Alipoulizwa kwanini hajaoa mpaka sasa alisema 'ndoa haitabiriki'....

Mwanzoni mwa mwaka huu alionekana akiwa karibu na binti wa miaka 19, watu mitandaoni wamekua wakishangaa sana na kuuliza maswali kuhusu hili....

View attachment 2583000
Di Caprio ana hela ndefu sana,usiige maisha yake,mpaka mwaka 2023 utajiri wake ni huu"Leonardo DiCaprio is an American actor, producer, philanthropist and activist. Leonardo DiCaprio has a net worth of $300 million"hizi ni sawa na Tshs Billion 690...
 
Back
Top Bottom