Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Karibu sana ndg.
Jenga nasi.
IMG-20161111-WA0008.jpg
20220202_182957.jpg
 
Kazi zinapendeza, plasta pia una nudu? Iwapo ndiyo, gharama za ufundi unakadiriaje?
Plaster pia tunafanya, sehemu kubwa tunapatana kulingana na udogo au ukubwa wa kazi, gharama pia inahusisha aina inayohitajika kufanyika, kama vile design kwenye Plaster.
 
Back
Top Bottom