Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Habari ndg zangu wana jamii, nimekuwepo hapa kitambo, kwa nafasi hii ya matangazo naendelea kutangaza kazi zangu zinazo husiana na masuala ya rangi.

Wasiliana nami kwa no 0766111212View attachment 2130876View attachment 2130960View attachment 2130962
Mkuu Fundi rangi nina site yangu ipo mkoani,nataka kupaka rangi ya BIEGE ya plascone,sasa mpaka sasa sijajua niweke drewa za rangi ipi za kopru?Naomba nisaidie mkuu ushauri,Mie nilitaka Namba 46 au 58,fundi hatajapenda hizo,muuzaji nae kashauri rangi tofauti.
 
Back
Top Bottom