Multtrillionare
Member
- Apr 13, 2017
- 35
- 44
Room na sebule ama room mbili na sebule, maeneo ya kuanzia africana hadi tegeta...
huwa naukubali sana utaratibu wa wamiliki wengi wa nyumba wa Kenya, ualipa kama guest house vileLabda nikuulize mheshimiwa dalali, wamiliki wa nyumba, wanaotegemea hizo nyumba zao kujikimu, huwa kuna mantiki gani ya kung'ang'aniza kodi ya mkupuo kwa mamiezi yote hayo ama mwaka mzima?
Huwa kuna tatizo gani kupokea kidogokidogo kila mwezi ili kuzuia kuishiwa wao wenyewe na pia kumpatia unafuu wa kulipa kidogokidogo mpangaji wake?
Naomba jibu ndugu dalali.
Je, naweza kupata chumba ambacho ni self-contained maeneo ya Maduka Mawili, Temeke?Kwa Mahitaji Ya VIWANJA au NYUMBA Ya Kupanga Tafadhari tuwasiliane 0718295182
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Shekhe weka ya Zantel nikupigie unifanyie jambo kidogoKwa Mahitaji Ya VIWANJA au NYUMBA Ya Kupanga Tafadhari tuwasiliane 0718295182
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hao wanafanya vizuri sanahuwa naukubali sana utaratibu wa wamiliki wengi wa nyumba wa Kenya, ualipa kama guest house vile
Naweza pata kwani unahitaji kuanzia liniJe, naweza kupata chumba ambacho ni self-contained maeneo ya Maduka Mawili, Temeke?
Room na sebule bei Laki 1.5 hadi laki 2.5Room na sebule ama room mbili na sebule, maeneo ya kuanzia africana hadi tegeta...
Bei Iko juu sana mzeeNINA ENEO SALASALA SQUARE METER 1=55,000TSH...KUNA SQUARE METERS 1400...ENEO LIPO SALASALA MITAA KADHAA UKITOKEA MBUYUNI KUNDUCHI... HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO NA LIMEPIMWA ALL DOCUMENTS VERIFIED
0718585555 PIGA AU TEXT WHATSAPP
Zantel sina chiefShekhe weka ya Zantel nikupigie unifanyie jambo kidogo
Tupe mrejesho, siku 10 zishakataUna kibali cha udalali? Una nyaraka za mlipa kodi? Nyie ndio mnaoibia sekta ya nyumba nchini. Kwa vile umeweka na mawasiliano yako basi tarajia ugeni halali ndani ya siku 10. Tumedhamiria kukomesha biashara haramu kwenye ardhi na nyumba nchini.
Mi hata kuanzia kesho, kiko wapi hicho nnachoweza kupata na kuanzia lini?Naweza pata kwani unahitaji kuanzia lini
KWA bei za sifa ya nyumba hiyo sina chief ninayo kuanzia laki 2.5Mkuu nahitaji nyumba yenye Vyumba 2 kimoja kiwe self jiko nachoo chandani maji ndani na Umeme wakujitegemea maeneo ya temeke Uwanja Wa Taifa,temeke kwa zizially,temeke pile kiwe na marumaru bei laki 1 nanus mpk laki2 simu 0712690760
Basi leo saa 8 nipigie kwa namba hii 0718295182Mi hata kuanzia kesho, kiko wapi hicho nnachoweza kupata na kuanzia lini?
Wewe ndo mmilikiView attachment 614261 KIWANJA NAUZA 420 SQM....BEI million 14 kipo TEGETE BOKO DAWASCO...0672211602 KARIBUNI