BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
- Thread starter
- #301
Chief ukiwa tayari nistue uje ukague 0718295182natafta chumba kinindoni,master kiwe na ndan ya fence sio vya kiswahili..120 budgetyangu
0753254562
Chief ukiwa tayari nistue uje ukague 0718295182natafta chumba kinindoni,master kiwe na ndan ya fence sio vya kiswahili..120 budgetyangu
Nitajibu ila ni swali lisilonihusuLabda nikuulize mheshimiwa dalali, wamiliki wa nyumba, wanaotegemea hizo nyumba zao kujikimu, huwa kuna mantiki gani ya kung'ang'aniza kodi ya mkupuo kwa mamiezi yote hayo ama mwaka mzima?
Huwa kuna tatizo gani kupokea kidogokidogo kila mwezi ili kuzuia kuishiwa wao wenyewe na pia kumpatia unafuu wa kulipa kidogokidogo mpangaji wake?
Naomba jibu ndugu dalali.
Mkuu hapo ni kilometer ngapi kutoka kivukoni, kiwanja kina ukubwa gani, kina hati au unawasaidiaje Wateja wako wasiingie kwenye migogoro ya ardhi.hii nyumba ipo kigamboni kibugumo inauzwa mil 13 TZS![]()
Ni km 10 toka ferry Eneo lina umeme na limechangamka tayariMkuu hapo ni kilometer ngapi kutoka kivukoni, kiwanja kina ukubwa gani, kina hati au unawasaidiaje Wateja wako wasiingie kwenye migogoro ya ardhi.
Laki 1 hadi laki 2 kutokana na ubora na mazingiraNahitaji chumba na seble (self) maeneo ya mbezi beach, nipe bei
Vipo nije nione kesho? Mbezi maeneo gani?Laki 1 hadi laki 2 kutokana na ubora na mazingira
Makonde na africanaVipo nije nione kesho? Mbezi maeneo gani?
Ndio ukiwa tayari nistue 0718295182, 0753254562Vipo nije nione kesho? Mbezi maeneo gani?