Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

KWA MAHITAJI YA VIWANJA VYA MAKAZI NA BIASHARA 0718295182 0753254562
 
KWA MAHITAJI YA NYUMBA na OFISI za KUPANGA AU KUNUNUA DAR
+255718295182
+255753254562
 
Pia kuna viwanja vimepimwa viko Mkulanga miale sehemu Nzuri sana
8000 kwa SQM 1
kuna jumla ya viwanja 40
Call
0718295182
 
Wakati huu wa mvua ndio wakati mzuri wa kununua viwanja na Kupanga Nyumba ili kuepuka sehemu inayotuamisha maji
 
Kweli mkuu, mi natafta chumba kimoja maeneo ya Boko au Bunju ila nikipita pita (nikiwa kwenye gari) naonaga maji yametuwama kichiz dah, vitakwepo vyumba salama kweli?

Budget - 50,000/- per month
Nataka by the end of this month niwe nimehamia huko mkuu

Kama utanitumia na picha nitashukuru [emoji41]
 
KWA sasa sina single room ila Nikipata ntakustua chief

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Unayehitaji nyumba ya kupanga sehemu Yoyote DARESALAAM Call 0718295182, 0753254562
 
Wale wote ambao tulipanga kucheki nyumba msisahau kesho jmos
Call
0718295182
0753254562
 
Laki 3 hadi laki 5 kutokana na ubora wa nyumba
Mnaopenda kuishi town,Lazima mtu anyooke karibuni kibamba vyumba bei poa.....ukipenda visivyokua na umeme shwari.Au kama unakiwanja tunakusaidia kupata mabati unaezeka surufuti....unaishi confortable huku ukianza kujenga chumba kimoja.[emoji3]
 
Ni kweli mtu akitoka na bei za huko akija mjini huwezi kumudu
 
Back
Top Bottom