Laki 3 hadi laki 5 kutokana na ubora wa nyumbaTwo rooms ,sebule na Jiko
Sinza,kijitonyama
Shngap
Kuanzia laki 2 hadi laki 3 kutokana na ubora wa nyumba
Balacuda ukiwa tayari uje ukagueBudget yangu laki 2
Hiyo hospital ipo Mbezi beach au Mbezi ya kimara nataka nikutafutie chief asanteNahitaji Chumba kimoja Mbezi maeneo ya karibu na hospitali ya mloganzila, chenye tiles, umeme , maji
Chief Ubungo na mawasiliano itamfaa karibu ukiwa tayari kukaguaNahitaji vyumba viwili eiza viwe kwenye nyumba moja au mtaa mmoja
sifa za vyumba hivyo viwe mastar nikimaanisha vyoo vya kujitegemea sio public vyote viwe na fensi ila kimoja kiwe na sehem ya parking viwe maeneo ya karibu na chuo cha mlimani
Kwaajili ya wadogo zangu wana kuja kuanza chuo hapo udizm
Viwe na umeme na maji tiles gypsum
kodi isizidi 130k
Balacuda ukiwa tayari uje ukague
Nina nyumba ipo ndani ya geti parking ipo n vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo luku ya kwako maji yapo karibu na kanisa la Rc Mwenge karibu kabisa na stand ya Afrikasana
Ipo mbezi ya kimara, wanasema ukishuka kibamba shuleni ni karibu tu hata mimi bado sijawa mwenyeji hukoHiyo hospital ipo Mbezi beach au Mbezi ya kimara nataka nikutafutie chief asante
Inaanzia 350,000 mazungumzo yapo
Call 0658183618
Kwakweli Picha sina chiefUnaweza kunitumia picha kiongozi