Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa
Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu kwa ajili ya Senima, mikutano na washable
Nipofuatilia kwa undani nikagundua kuwa kweli kipindi hiki ni mwisho wa mwaka wa Kiserikali na leo bajeti imesomwa hivyo watumishi wanamalizia mafungu ya bajeti ya mwaka uliopita ili yasirudi Serikalini
Kuna jamaa yangu naye alikeenda Bagamoyo akaniambia kuwa amekosa sehemu ya kulala kwa kuwa gesti zote zimejaa ikambidi arudi Dar alale Boko
Miye baada ya kuosa nyumba ya kulala Moro nikaenda uswahili kabisa huko ndio nikapata nafasi ya kulala gesti ambazo bei yake ni rahisi elfu 5 zinatumiwa na Boda Boda kuchukua wake za watu na wanafunzi shuka hazibadilishwi ambapo ni hatari kwa afya ya watu
Miji ya Moro na Bagamoyo ndio miji pendant kwa watumishi wa umma kufanyia mikutano yao wakati Dodoma na Dar kuna hotel nyingi na kubwa lakini hataki kufanyia huko kwa kuwa wanajua watakosa fedha za kujimu (per diem)
Comasava