Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
- Thread starter
- #21
yah!TEAMO anaamini kwamba wakati mwingine MAPENZI NA FAMILIA ZETU huamshwa na kuanzia mezani.kwa kufanya hivi tutajipunguzia possibilities za kujilimbikizia infiiz ''unnecessarily''.Tutawafanya wake zetu kuwa MIPANGO YOTE,yaani mpango mzima na mpango wa kando anakuwa yeye mwenyewe...
Hivi kumbe hii TEAMO inawezekana eeeh?
unawezekana kabisa
at least kupunguza kazi za nje
KAZI ZA NJE zinakufanya uwe bize sana halaf ''for nothing'' kwakuwa in a long run WANAWAKE NI WALE WALE....!hakuna kitu kipya sana utakikuta huko nje