Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,273
- 1,040
Habari zenu binafsi?!....
Awali ya yote napenda sana kumshukuru sana MAANANI,kwani ni yeye pekee anaetuweka mimi na wewe DUNIANI.Natumia Fursa hii adimu kuwashukuru sana wetu mimi na wewe WAZAZI,kwa kazi ngumu ya kutuleta sisi DUNIANI
STRAIGHT KWENYE HOJA:
TEAMO anawashauri wakina baba wenye familia zenu kujijengea tabia ya KUSHIRIKI chakula cha pamoja na FAMILIA walau mara nne kwa wiki (MSISITIZO:walau mara nne kwa wiki).Wikileaks imegundua kwamba manung'uniko ya hapa na pale ya WAKE ZETU yanachangiwa sana na ''ushiriki finyu'' wa chakula cha pamoja na familia.
TEAMO anawapenda sana na anazijali sana ndoa zenu ndio maana anasema kupunguza kutokuelewana kwa hapa na pale katika familia tujaribu kushiriki pamoja na mama na watoto walau hata DINNER tatu kwa wiki na LUNCH moja weekend.
TEAMO anaamini kwamba wakati mwingine MAPENZI NA FAMILIA ZETU huamshwa na kuanzia mezani.kwa kufanya hivi tutajipunguzia possibilities za kujilimbikizia infiiz ''unnecessarily''.Tutawafanya wake zetu kuwa MIPANGO YOTE,yaani mpango mzima na mpango wa kando anakuwa yeye mwenyewe...
TEAMO IS STANDING TO BE CORRECTED
Yours' Sincerely,
TEAMO aka BABA G