Kushindwa kuinstall apps kwenye Google play store....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,129
Salama wakuu,
Habari za jioni wakuu? Naomba niende straight kwenye point,
Nimemnunulia mtoto wangu tablet aina ya Atouch ambayo inatumia android version 13. Sasa bwana hii tablet changamoto kubwa ni kufanya installation ya apps. Ukiingia kwenye play store ukachagua app ya kudownload, inafanya downloading vizuri tu lakini ikimaliza utaona inaandika installing karibia dakika 3 mwishowe inafail. Nimejaribu nuclear cache ya playstore na Google services lakini wapi naona ni Yale Yale tu. Naomba msaada wakuu,
Cc
 
Mwanzos ilikua inafanya kazi fresh au
 
Check Kama una storage ya kutosha. Pia unaweza reset hio tablet
 
Kwanza kubali umepigwa.
Pili hapo hamna tablet ni kids toys 😂😂 usitegemee kuna tablet hapo ya kufanya hayo unayotaka sijui install apps n.k
Tatu acha mtoto alichezee kama toy maana hamna kitu utafanya hapo na hela imeshapigwa
 
hio tablets ina RAM GB ngapi.? hio haina storage ya kutosha au kama vipi weka memory card
 
Back
Top Bottom