ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Besti hebu nitumie jiPM kwanza maana nahisi kukumis sana sijakuona mwezi wa tatu huu sasa...
niliposema kunikosea sana ilijumuisha na adabu pamoja na mambo mengine.....
yaani kweli na mapoint yangu na kujieleza kwangu huku halafu mtu aniulize nimevaa chupi gani kwa pm? huko kutakuwa ni kwenda mbali sana....
Huwa natabasamu tu ninaposoma PM na mtu anajisalimisha na "No hard feelings", najivunia kuheshimiwa kwa design hiyo, hata PM.....
Utu uzima raha sana mtu mzima mwenzangu, au wewe unaonaje?
labda alikutana na kidume lol
pm unaweza hadi fanya cyber sex na kidume mwenzio ukidhani umeopoa bonge la mdada lol ...
ha haaa, mkubwa mwenzangu, kuna watu wanaomba ushauri ambao hawapendi wengine waone.Hongera sana mkubwa mwenzangu...
Mwenzio hata password ya PM sina...lol
Babu DC!!
Mmmmh...... Inaelekea yamekukuta mengi sana huko PM..!!
nitakwenda PM nimwambie mama haya :mwaaah: unayomfanyia yeye akiwa hayupo
halafu nita:doh: ukifokewa
Hahah ukiona meseji yoyote yenye neno 'kumis' ujue mama ndio kaandika kwa kutumia ID yangu...
Aisee!
tutasikia mengi kwenye huu uzi......
dah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele
kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol
kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol
sikuzidi wewe nna uhakika....lol
ha haaaa...... noted!:confused2:mkuu mambo ya pm siku zote ni 'imaginations' tu
ndo maana watu wakishaonana hawashindi pm
so pm ni nzuri kama unapenda fantasies zaidi..
ala kumbe! unanilaghai daddy; haya
ukitaka nipe chocolate nisimwambie.........
nitacheka mie :becky:
Hizo hapo chukua...lol
Hmmm.....
waarabu wa pemba yahe
ha haaa, mkubwa mwenzangu, kuna watu wanaomba ushauri ambao hawapendi wengine waone.
kumbuka pwd basi, maana karibia nakuja kuomba ushauri wako huko..... "No hard feelings", lol!