Sasa mbona ni wale wale wana wa Israel 😹😹1. Tukiwa tunatembea akiwa anapenda kushika kama kuvuta nguo/shati langu! Mara nyingi shati langu kwa nyuma hivi kimtindo
2. Kupenda nimshikie vitu vyake kama simu, au vikorokoro vyao
3. Tukiwa tumekaa kuna jinsi wanachezesheaga miguu/mikono/vidole vile amazing kimtindo huwa inanipa mzuka kumuangalia
4. Kuna jinsi ambavyo anakuitikia nikiwa naongea au kuinua kichwa kuashilia ananisupport ninachoongea! Hii hata asipoongea mimi nitaendelea kukata mistari na sitachoka!
4. Tabasamu!
5. Kuwa na mashauzi ya kuhisi anajisikia baridi na kutaka body contact yangu/kuniegemea/kunilalia
6. Kutokujua mambo mengi na kuwa mgeni kwa story ntakazokuwa nampigia. Sasa hapa ndo mahali manzi wanakata stimu zetu, unaanzisha story anaidakia kwa juu na kuimalizia 😆😅😅
7.....
8.....
Lamomy
Samaleko 🖐️ 🤣Watu mmepinda hadi mimi Malaika nawaogopa.
Yoda bana, haya kwenye kampuni unayofanyia kazi wewe upo kitengo kipi?Hiyo sio content
Samaleko 🖐️Ukisema gas imeisha kwan yeye ni kiwanda cha ku refill gas
Hajakupenda ndomaaana mwanamke anaekupenda content haziishagiiKiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Punguza kuongea mkuu tofauti na hapo utakuja kuambiwa kuwa unaperecha, unajikuta mjuaji kila kitu unajua, unajiona upo sahihi au unaongea sana.Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Wewe wampenda shetaniHajakutana na kina sie wambea atapewa umbea wa mji mzima hata hiyo out ataiona fupi, sasa yeye kaenda kumchukua wale wa nampenda yesu anategemea nini?
Huyo hakupendi mkuu, mwanamke ambae hakupendi hii ni dalili nyingine ukiacha ile ya kuombwa hela sana. Akili kichwani mwako ndugu yanguHatochangia chochote atakaa kimya tuu.
Kuna siku alinipigia baada ya salamu akakaa kimya, mi nikaanza kumpigisha story za kazini, bhana hakuchangia chochote, nikabadilisha nikaanza kuongea story za coding and designing bado kimya, haya nikaja kuongea mambo ya research ninazofanyaga ndo kabisa akawa anaitikia tuu "enhe, aah kumbe, duuuh" niliishiwa nguvu.
Hii ni content tunaanza ku-date sasaYoda bana, haya kwenye kampuni unayofanyia kazi wewe upo kitengo kipi?
Poa vip muhalifu wetu 🤣🤣😹😹😹 wifi niaje?
Mambo vipi?
🤣🤣🤣 Kwenu mmezaliwa wangapi?Hii ni content tunaanza ku-date sasa
😹😹😹 Muhalifu niko pouwa.!!Poa vip muhalifu wetu 🤣🤣
Komasava 🤝Samaleko 🖐️ 🤣
nimecheka.last line😀😀...hata mm ya kwao nayajua yootr yeye hata hayajui😀😂😂😂 si ndio hapo.!!
Hajakutana na wambea, yani mi babe wangu mpk anachoka mana taarifa zote ninazo sio za siasa sio za udaku ni yeye kuchagua tuanze na ipi??
Sijawahi kosa content hata yanayoendelea kwenye familia yao ninayo.!!