Kusamehe ni Udhaifu

Kusamehe ni Udhaifu

Mwendo wa revenge kama the punisher, utajuta even to fathom the very thought of ever crossing me.
hCxGysuyaw345hS9biWT8G.gif
tumblr_o4d13bAFSb1uzua4xo9_540.gif
 
Kusamehe si ujinga, na kulipiza kisasi si ujasiri. Mtu akikufanyia umafia, usiwe mwepesi wa kusahau wala mwepesi wa kulipiza. Mueleweshe kwa vitendo kwamba amevuka mipaka kwa kutumia akili, ushahidi na njia sahihi. Wakati mwingine kumdhibiti mtu ni kumuweka kwenye matokeo ya matendo yake, si kumuumiza.
 
nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya.

mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa.

I'm out

#Kisasi ni haki.
Sawa ila jua kuwa at the end wewe ndiye utakayeumia,fanya hiyo research utakuja kunishukuru siku moja "Usishindwe na ubaya bali ushinde ubaya kwa wema" hii ni kwa faida yako mwenyewe....
 
Sheria bado ni ileile usiombe msamaha kwenye kosa ambalo unajua unaweza kulimaliza kwa ugomvi. Hii haimaanishi kwamba napenda vurugu au visasi , ninachojaribu kusema ni kwamba kama unaweza kumuumiza huyo aliyekukwaza basi muumize pia. My take: napenda kusamehe sana.
 
Back
Top Bottom