Kusamehe ni Udhaifu

Kusamehe ni Udhaifu

Inategemeana ni kosa kwenye angle gan...

Katika angle ya mapenzi mwanamke akikuchiti kusamehe ni udhaifu kwakua hawezi kumvulia nguo mtu ambaye hana hisia nae...

Mandela pindi alipotoka gerezani aliwasamehe wengi walomkosea ila hakumsamehe mke yule alomchiti pindi alipokuwa gerezani.
 
nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya.

mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa.

I'm out

#Kisasi ni haki.
Siafiki sana katika dhana hiyo. Ni kweli Kisasi ni haki lakini:
Je, unalipiza kwa nani kisasi hiko? Je, unayemlipizia kisasi analitambua kosa lake? Isijekuwa mkosaji ni Taahira au Chizi, Mwanao, Mzazi wako n.k au .....
Halafu wewe mlipa kisasi umejiridhisha kwamba ulichotendewa ni kinyume cha haki(umafia)? Je, Umebaini Lengo la ulichotendewa ni lengo Ovu?
Ni katika mchakato huo wa kujiuliza na kujijibu maswali binafsi hapo juu ndo nitaweza kufanya uamuzi wa kulipa kisasi au kusamehe.
Halafu mwisho; Je, ninalipa kisasi mm mwenyewe au nina-outsurce?
 
Nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya

Mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa

I'm out

Kisasi ni haki
naunga mkono hoja. Uoga, unyonge na kukosa ujasiri ndo kunawafanya watu wanasamehe Ila kumuacha mtu aliekuletea maumivu sio vizuri kabisa
 
Kusamehe si ujinga, na kulipiza kisasi si ujasiri. Mtu akikufanyia umafia, usiwe mwepesi wa kusahau wala mwepesi wa kulipiza. Mueleweshe kwa vitendo kwamba amevuka mipaka kwa kutumia akili, ushahidi na njia sahihi. Wakati mwingine kumdhibiti mtu ni kumuweka kwenye matokeo ya matendo yake, si kumuumiza.
Good
 
Back
Top Bottom