Kusamahe: Kuna mengine huwa hayasameheki?

Kusamahe: Kuna mengine huwa hayasameheki?

Hujui alifanya nini huyo Winnie? Well, alikuwa anatombwa ingali bado ni mke wa mtu. Tena basi alikuwa anatombwa na kijana nusu ya umri wake aitwaye Dali Mpofu. Huyu bwana Mpofu alikuwa ni mmoja wa mawakili wake kwenye ile kesi ya mauaji ya yule dogo Stompie Moeketsi.

Hebu deku vipande vya barua vilivyochapishwa na gazeti na Independent la Uingereza aliyoiandika Winnie kwenda kwa huyo Bw. Mpofu.

Habari inaanza hivi.....



Halafu The Boss eti anasema kuwa Madiba alimsamehe Winnie wakati John Carlin kwenye kitabu chake cha "Knowing Mandela" anadai kuwa Madiba hakumsamehe kabisa Winnie!

Nelson Mandela passed away Thursday night. John Carlin in his new book ‘Knowing Mandela,’ reveals why he never forgave the former wife who has visited his bedside.


umeona nilivomaliza comment yangu
mandela alibaki kuwa mwanadamu,siyo malaika!
hiv kweli kuna mtu aliwahi kufikiri Winnie alipaswa kubaki mjane -hai?
hebu tuache kumwangalia kwa macho ya uwinnie madikezela mandela!
halafu tukitaka kumjadili winnie hebu turudi nyuma kidogo kwa evelyne!
ndo mana niliishia kusema Tata anabaki kuwa mwanadamu!
hakika namwelewa na nimemsamehe!
 
Jamani tusidanganyane , ktk hali ya kibinadamu ni ngumu kusamehe na kusahau.Tutasamehe lakini kusaau ni ngumu jamani.Kinachotakiwa tukumbuke bila hasira.Mfano mimi kuna mtu aliwai nikosea tukiwa advance nkamsamahe wakati nipo chuo.

Nlivosoma hii thread nimekumbuka lakini si ktk hali ya hasira kama kabla ya kumsamehe.Hili siwezi lisaau bali nakumbuka bila hasira.Na moyo na
mwepesi sana tu.
 
nilitaka kujua hilo.

Kila mtu ana tafsiri yake ya msamaha, mwingine ili aone mmesameheana ni mawasiliano ya.mara kwa mara.

Mie kuna mtu alinikwaza miaka ya zamani, it took me mwaka.na.nusu kumsamehe na kumsemesha tena.
Kama waswahili wasemavyo, mbwa ukimjua jina hakusumbui, kwa kuwa nishamjua.guts zake, and how far anaweza kwenda naishi naye very strategic.

Nawasiliana naye mara moja moja, na mashirikiana naye kwa mambo kadhaa tu, utadhani si ndugu kivile.

Kwa nini nilimsamehe wakati hata hakuniomba msamaha? Ni wa muhimu kwangu bila kujali mchango wake kwangu.

Kuna mtu mwingine anakuumiza kwa kusudi tu, sababu anajua huna guts za kulipa kisasi. Mtu kama huyo kaa naye mbali.

Kuna watu wengine hata kama unawasamehe, weka mpaka wa mahusiano sababu watakuumiza kila wasaa wanaoupata. Ukishamjua mtu uasumbui.

Nilidhani una moyo wa kanisa, umrudie muendeleze familia. Lakini kwa mtizamo wangu lazima uwe na mahusiano ya karibu na wanao hata kama nyie wazazi ni paka na chui.

Kongosho,uko sahihi,kuna kitu ambacho yeah kitaendelea kuniumiza moyoni japo nilishamsamehe lakini haiondoi ukweli kwamba msamaha utabaki whatever the case.Moyo wa kanisa?yes hilo lilikuwepo na kulikuwa na pressure kubwa kwani ndoa yetu ilifungwa na mmoja ya Maaskofu waandamizi hapa nchini,na ili kuonyesha ile "church collectness" kulikuwa na pressure all these years kuhakikisha nasamehe na kurudi ndoani
 
Nimejikuta nawakumbuka walionikwaza nikajiapiza ctawasemehe mpaka naingia kaburini!naivunja kauli hii na nitawafata najua hawataamini ila kuanzia sasa nimewasamehe.
Kukaa na kinyongo moyoni kunatesa mno Kwa kweli.

Mkuu utakuwa umefanya la maana kwa sababu tuko tofauti unavozidi kutokusamehe ndo wengine wanakuuzi zaidi vinyongo si vizuri unaweza kuumwa bure once you have peace of mind forgiveness will be normal issue and it hurt you any more
 
Mkuu uzi ni mzur lak umeuchafua kwa kumshushia hadhi Mungu kwa kuandka mungu
Ukishaandka mungu ktk tafsir ya biblia unabdlisha maana kabisa huyo anakua ni yule jamaa ibilisi lakin ukishasema Mungu hapo ndo unampa hadhi yake hasa huyo aliyetuumba
Tujitahdin kukumbka hlo
Pia kama umekwazka kwa hlo bhasi rejea uzi wako hapo juu
Ubarikiwe sana

Asante mkuu Kioju.Hapana mkuu sikuandika small letter kwenye neno Mungu,niliandika kwa style tofauti kidogo lakini Mods wamebadilisha style nilyoandika ndio maana kuna makosa mengi kidogo ukaachilia hilo
 
That is a major step you have made Beloved! For you and the babies and am very happy for you for letting the weight off.

The power of something my beloved Karucee and you what i mean ha ha ha ha ,yes what can i say
 
Wakina Botha hadi wanakufa waliamini kabisa hakuna kosa walilolifanya kumfunga Mandela
na kuweka ubaguzi..u
but Mandela hadi kumzika Botha alienda kumzika na kasamehe......hapo unaona faida ya kuwa na a big heart...


Mandela hana moyo wa kusamehe, kasamehe waliomminya miaka 27, Winnie aliyekuwa anaua nje kwa ajili yake hakumsamehe. Kisha hao makaburu kawaacha wajilie kivyao vyao, weusi mpaka leo ni mahausigeli, garden boys, homeless and a few thieves in the government. He is not my hero kivileee, ama hutaki unaacha
 
aseeh mtani umewaza nini?
kusamehe ni somo pana sana!
na kimsingi si wote tunaweza kusamehe,hatuwezi maana tumeaminishwa kuwa tunakosewa kwa sababu sisi si bora au hatustahili kutendewa sawa!
matokeo yake tunaona kusamehe ni kuzidi kujishusha na kuwafaidisha wengine!
kumbe wakati mwingine ubora wetu hufanya wengine wakosee wakiamini kwa kuwa ni sisi,basi tutaelewa na kusamehe!

see!
lakini nani yupo tayari kukubali kuwa anabaki kuwa bora hata baada ya kukosewa na kuumizwa?
so visasi vinakuwa justified hapo!
kuuuuumbe hatupaswi kusamehe kwa kuwa kuna mtu anahitaji msamaha ni sisi ndo tunahitaji msamaha!hii haijalishi kosa ni kubwa au halitazamiki kiasi gani!na haina maana unapaswa kuprpve kwa yeyote kuwa umesamehe!msamaha ni kwa ajili ya moyo wako!
angalia wepesi unaosikia sasa baada ya kusamehe!!
boooooooonge la zawadi umejipa!
ubarikiwa mwayego!
umetupa shule kwa kweli!

Mtani Snowhite we acha maisha haya................haya yule aliyekuja kwa ajili ya kuukomboa huu ulimwengu alizaliwa kwa kwenye zizi la ng'ombe ili neno litimie,itakuwa sisi.Ndio mitihani ya dunia hiyo
 
Unamsamehe alikukosea wewe?

enh!
we unadhani walioweka hizo kumbukumbu ni wehu?
af nikwambie kitu,hii mada inataka kujadili bila povu ujue!
naona unapomokwa tu mineno mbofu mbofu kama winnie alikuwa mkeo vile!
relaaaax bana!
 
mhh gud for u.. am in a situation ryt now kumuomba Mungu anipe moyo wa kusamehe
sana as i feel moyo umekua na ganzi n nawaza kumfanyia aliyenitenda mabaya but am crying Mungu anipe ujasiri nisamehe jaman....

Keep on praying Baby M na mungu atakusaidia
 
enh!
we unadhani walioweka hizo kumbukumbu ni wehu?
af nikwambie kitu,hii mada inataka kujadili bila povu ujue!
naona unapomokwa tu mineno mbofu mbofu kama winnie alikuwa mkeo vile!
relaaaax bana!

Go get your eyes checked coz ain't nobody foaming at the mouth!

You must be seeing things.
 
mhhh m impressed bt help me to get to tht point I thnk nipo km ww ulivyokua unforgiving, I wsh I get to tht point u are now

My dear Baby M if u real want this, then trust me u can get over this. Even though its not that much easy, I believe God will take u through it. U can count on me.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Jamani tusidanganyane , ktk hali ya kibinadamu ni ngumu kusamehe na kusahau.Tutasamehe lakini kusaau ni ngumu jamani.Kinachotakiwa tukumbuke bila hasira.Mfano mimi kuna mtu aliwai nikosea tukiwa advance nkamsamahe wakati nipo chuo.

Nlivosoma hii thread nimekumbuka lakini si ktk hali ya hasira kama kabla ya kumsamehe.Hili siwezi lisaau bali nakumbuka bila hasira.Na moyo na
mwepesi sana tu.

Mkabasia,you had a big heart not otherwise,ili tuwe karibu na mungu wetu ni lazima tuishi nje ya dhambi,kama binadamu tuna udhaifu wa kutenda dhambi,na kwa kuwa na dhambi ni lazima kutubu.Huwezi kutubu kama hujasamehe.It is a vicious circle
 
Ni kwanini kila mtu anasema Kutosamehe ni kujiona kuwa bora? Hamuoni aliyekosea alijiona kuwa bora, na mwenye haki ya kuumiza mwenzie?

Mwizi hujiona ana haki ya kutofanya kazi.
Muongo hujiona ana haki ya kupata chochote atakacho.
Muuaji hujiona dunia ilitengenezwa kwa ajili yake.
Mpenzi asiye mwaminifu hujiona kama The Boss kuwa penzi alilokuwa anapewa lilikuwa sadaka/la bure.

Ukweli ni kuwa deep inside kila mtu hujiona ni bora. ndio ubinadamu huo.

chochote kitakachotokea kila mtu ana uwezo na uhuru wa kuamua atakacho, ikitegemea na experiences zake, hisi zake na morals zake wakati huo.

by the way kila mtu ana maana yake ya kusamehe. wengine kesho akikuongelesha ukajibu anajua umemsamehe. wengine hadi useme umewasamehe. wengine hadi umchekee. wengine hadi ukubali zawadi yao. etc

unfortunately kwangu nimekusamehe kama nikikumbuka ulichofanya moyo hauwi mzito. ni automatic. sikusamehi kwasababu umeomba msamaha, kuna watu misamaha iko midomoni tayari kutoka.

nafikiri mi ndo wale wanaoitwa wenye gubu.
 
Last edited by a moderator:
Hii threa na ile ya lara 1 ni kama zinajibiana
ile inataka wattu tuwe mabandidu tusisamehe ovyo lol
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kaka yangu, kama unakumbuka ndicho nilichokuwa nakushauri. Now that the bitterness is over you can move on.

Hongera tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom