The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Ni kwanini kila mtu anasema Kutosamehe ni kujiona kuwa bora? Hamuoni aliyekosea alijiona kuwa bora, na mwenye haki ya kuumiza mwenzie?
Mwizi hujiona ana haki ya kutofanya kazi.
Muongo hujiona ana haki ya kupata chochote atakacho.
Muuaji hujiona dunia ilitengenezwa kwa ajili yake.
Mpenzi asiye mwaminifu hujiona kama The Boss kuwa penzi alilokuwa anapewa lilikuwa sadaka/la bure.
Ukweli ni kuwa deep inside kila mtu hujiona ni bora. ndio ubinadamu huo.
chochote kitakachotokea kila mtu ana uwezo na uhuru wa kuamua atakacho, ikitegemea na experiences zake, hisi zake na morals zake wakati huo.
by the way kila mtu ana maana yake ya kusamehe. wengine kesho akikuongelesha ukajibu anajua umemsamehe. wengine hadi useme umewasamehe. wengine hadi umchekee. wengine hadi ukubali zawadi yao. etc
unfortunately kwangu nimekusamehe kama nikikumbuka ulichofanya moyo hauwi mzito. ni automatic. sikusamehi kwasababu umeomba msamaha, kuna watu misamaha iko midomoni tayari kutoka.
nafikiri mi ndo wale wanaoitwa wenye gubu.
mnhhh why i got this feeling tunafahamiana hivi?
una id ingine?....some truth na ulichoandika
kuumiza watu sababu tunajiona 'entitled' na ku demand kusamehewa pia sababu hizo hizo
so pengine tatizo letu kuu...ni 'kiburi' arrogance..na kujiona we 'deserve' kila tunachokipata..
some truth......