Kusamahe: Kuna mengine huwa hayasameheki?

Kusamahe: Kuna mengine huwa hayasameheki?

You are right The Boss,nilishindwa kusamehe for the last four years lakini leo nafikiri mungu alimtumia mtumishi wake kunifikishia message kwani padre from nowhere alikuja simama nilipokuwa nimekaa na aliniuliza swali kama nimeshawahi kusamehe ili hali ndio siku ya kwanza kwenda kwenye hili kanisa ughaibuni.You needs a big heart to forgive,yes

mmmh gud for yu..naomba uniweke kwny maomb na mm niwe na uo moyo jmn...
khaa yn mm mtu akiniudh mpk kuja kumsamehe aisee eee .r
 
mmmh gud for yu..naomba uniweke kwny maomb na mm niwe na uo moyo jmn...
khaa yn mm mtu akiniudh mpk kuja kumsamehe aisee eee .r

Mkuu hii ni vicious circle hii..............kama huwezi kusamehe,huwezi kusamehewa,huwezi kutubu kwani toba yako haitakuwa........unaishi kwenye dhambi kwani umejenga ukuta na mungu wako........una-invite mikosi,magonjwa,laana na hata dhambi za asili zilizofanywa na babu wa mababu zako,ambazo wewe hata huzijui na wala huhusiki nazo lakini zinaweza kuletea mikosi,laana na hata magonjwa ya kurithi..........mkuu Om is om tafakari kama kweli ni mkristo unaejali
 
kumove on ni kipengele kimojawapo cha kujisamehe!
wakati mwingine kujisamehe hutupa namna ya kuanza upya!
huwezi kuishi jana isiyoweza kuwa leo!
its a wastage of time!
unatengeneza kosa usilolijua kwa huyo anayeamini uko ok naye!
totaly UNFAIR!

Mtani kweli ulisema kusamehe ni kitu kipana sana,i salute u
 
TUSAMEHE MAKOSA YETU KAMA TUNAVYOWASAMEHE WALIOTUKOSEA, ukielewa maana ya huu mstari inatosha.....kumbuka inatamkwa tu MAKOSA bila kufafanua ni makosa ya kiwango gani, which means hata anayekuua unapaswa kumsamehe kabla hujakata roho.

So ukipenda kusamehe nawe uwe unasamehe.
 
Uko sahihi mkuu, FYATU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom