Kusamahe: Kuna mengine huwa hayasameheki?

Padre alihubiri huwezi kutubu dhambi zako kama wewe mwenyewe hujasamehe waliokutenda/kuumiza kwa kutokutubu dhambi zako unakuwa umejenga ukuta na mungu wako kwa kuwa na dhambi unakuwa umemuasi mungu wako kwa kuishi kwako katika dhambi kuna-invite majanga mengi katika maisha yako personally,majanga hayo yaweza kuwa magonjwa,umasikini,failures,mikosi Lakini hata katika kuishi kwako ukiwa si mwenye dhambi yaani kwa kuishi ukiwa hujavunja amri zote kumi za mungu bado dhambi zilizotendwa na generation nne za nyuma yako bado zinaweza kutesa,muulize baba yako au wazee kama kuna madhabahu walizo abudu huko nyuma Haya yalikuwa maudhui ya somo la leo.

Niko kwenye mid forties,nimelelewa kwenye ukatoliki sawia,natimiza wajibu wangu kama mkatoliki,natenda dhambi ndio, nawajibika kutubu na huwa natubu.Kwa mara ya kwanza leo katika maisha yangu ya dini nimekutana na mahubiri hayo hapo,padre alikuwa anaquote vitabu tofauti kusupport his arguments.Nimemkubali na nimekubali kitu ambacho for the last few years nilikuwa sijalikubali kusamehe

My ex alinitenda kutendwa ambako namshukuru mungu alinipa ujasiri wa kutokulipiza kisasi,for a year nilienda kukabidhi silaha polisi kwa sababu shetani alikuwa ananiteka,ningeweza kufanya kitu kibaya.Nilimwacha mke wangu,nili-move on,sikuwahi kumsamehe ila nilikwa najaribu kusahau.Kila nilipofikiria kile alichonifanyia tumbo lilikuwa linatetemeka.Baada ya mahubiri ya leo nilipata muda wa kutubu,nimemsamehe my ex,kutoka moyoni.

Our divorce was one of the messiest divorce ambazo huwezi kufikiria,yaani hata arrangements za kuwaona watoto,kulipia school fees ni through our solicitors.Nimempigia simu leo my lawyer ili aweke appointment na lawyer wa my ex ili waweze kutukutanisha nimwambie kwamba nimemsamehe kama ambavyo nimetubu leo kanisani.

Wana MMU naomba tushare hii topic ya KUSAMEHE.Je umashatendwa/umizwa kiasi cha kushindwa kusamehe?Sio kuumizwa kwenye ndoa/mapenzi tu,hapana hata maisha ya kawaida,ulidhulumiwa na mtu/watu,kuna mtu/watu walikatisha ndoto zako za maisha.Yaani yale mambo mabaya uliyofanyiwa na mtu/watu kiasi ukikumbuka au ukimuona mtu/watu waliokutenda unasikia moyo kukuenda mbio au tumbo kukuuma.Je uliwasamehe/utawasamehe?.Bila kusameheana tutakuwa tunajenga kweli taifa lenye maadili na lenye kumpendeza mungu kuazia kwenye familia au mtu mmoja mmoja au familia na familia?

cc @Kaunga The Boss Karucee snowhite Sikonge Kongosho

Mkuu uzi ni mzur lak umeuchafua kwa kumshushia hadhi Mungu kwa kuandka mungu
Ukishaandka mungu ktk tafsir ya biblia unabdlisha maana kabisa huyo anakua ni yule jamaa ibilisi lakin ukishasema Mungu hapo ndo unampa hadhi yake hasa huyo aliyetuumba
Tujitahdin kukumbka hlo
Pia kama umekwazka kwa hlo bhasi rejea uzi wako hapo juu
Ubarikiwe sana
 
Nimejikuta nawakumbuka walionikwaza nikajiapiza ctawasemehe mpaka naingia kaburini!naivunja kauli hii na nitawafata najua hawataamini ila kuanzia sasa nimewasamehe.
Kukaa na kinyongo moyoni kunatesa mno Kwa kweli.
 
That is a major step you have made Beloved! For you and the babies and am very happy for you for letting the weight off.
 
Nimejikuta nawakumbuka walionikwaza nikajiapiza ctawasemehe mpaka naingia kaburini!naivunja kauli hii na nitawafata najua hawataamini ila kuanzia sasa nimewasamehe.
Kukaa na kinyongo moyoni kunatesa mno Kwa kweli.

good for you..... utashangaa utakavyo feel good....
 
Wakina Botha hadi wanakufa waliamini kabisa hakuna kosa walilolifanya kumfunga Mandela
na kuweka ubaguzi..
but Mandela hadi kumzika Botha alienda kumzika na kasamehe......hapo unaona faida ya kuwa na a big heart...

heheheh mandela alisamehe wote ila sio winnie
 
Namshukuru Mungu sana coz am grown up now na nimejifunza kusamehe na kujisamehe mimi mwenyewe. Hapo mwanzo nilikuwa mtu wa kukaa na vinyongo moyoni pale inapotokea nimeumizwa na mtu wa karibu yangu. Nilikuwa siwezi kumwambia mtu eti labda fulani umenikosea. Ilikuwa mtu akinikosea, ntalala kitandani kwangu ntalia weee, nikimaliza kulia ndo uhusiano na huyo aliyeniumiza unaishia hapo. Sitojihusisha na huyo mtu kwa njia yoyote ile.
Inatesa kwa kweli kukaa na kitu moyoni na unaweza ukawa unazuia pia baraka zako kwa njia hiyo. Tujifunze kusamehe na kujisamehe sisi wenyewe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mhhh m impressed bt help me to get to tht point I thnk nipo km ww ulivyokua unforgiving, I wsh I get to tht point u are now
 
aseeh mtani umewaza nini?
kusamehe ni somo pana sana!
na kimsingi si wote tunaweza kusamehe,hatuwezi maana tumeaminishwa kuwa tunakosewa kwa sababu sisi si bora au hatustahili kutendewa sawa!
matokeo yake tunaona kusamehe ni kuzidi kujishusha na kuwafaidisha wengine!
kumbe wakati mwingine ubora wetu hufanya wengine wakosee wakiamini kwa kuwa ni sisi,basi tutaelewa na kusamehe!

see!
lakini nani yupo tayari kukubali kuwa anabaki kuwa bora hata baada ya kukosewa na kuumizwa?
so visasi vinakuwa justified hapo!
kuuuuumbe hatupaswi kusamehe kwa kuwa kuna mtu anahitaji msamaha ni sisi ndo tunahitaji msamaha!hii haijalishi kosa ni kubwa au halitazamiki kiasi gani!na haina maana unapaswa kuprpve kwa yeyote kuwa umesamehe!msamaha ni kwa ajili ya moyo wako!
angalia wepesi unaosikia sasa baada ya kusamehe!!
boooooooonge la zawadi umejipa!
ubarikiwa mwayego!
umetupa shule kwa kweli!
 
Padre alihubiri huwezi kutubu dhambi zako kama wewe mwenyewe hujasamehe waliokutenda/kuumiza kwa kutokutubu dhambi zako unakuwa umejenga ukuta na mungu wako kwa kuwa na dhambi unakuwa umemuasi mungu wako kwa kuishi kwako katika dhambi kuna-invite majanga mengi katika maisha yako personally,majanga hayo yaweza kuwa magonjwa,umasikini,failures,mikosi Lakini hata katika kuishi kwako ukiwa si mwenye dhambi yaani kwa kuishi ukiwa hujavunja amri zote kumi za mungu bado dhambi zilizotendwa na generation nne za nyuma yako bado zinaweza kutesa,muulize baba yako au wazee kama kuna madhabahu walizo abudu huko nyuma Haya yalikuwa maudhui ya somo la leo.

Niko kwenye mid forties,nimelelewa kwenye ukatoliki sawia,natimiza wajibu wangu kama mkatoliki,natenda dhambi ndio, nawajibika kutubu na huwa natubu.Kwa mara ya kwanza leo katika maisha yangu ya dini nimekutana na mahubiri hayo hapo,padre alikuwa anaquote vitabu tofauti kusupport his arguments.Nimemkubali na nimekubali kitu ambacho for the last few years nilikuwa sijalikubali kusamehe

My ex alinitenda kutendwa ambako namshukuru mungu alinipa ujasiri wa kutokulipiza kisasi,for a year nilienda kukabidhi silaha polisi kwa sababu shetani alikuwa ananiteka,ningeweza kufanya kitu kibaya.Nilimwacha mke wangu,nili-move on,sikuwahi kumsamehe ila nilikwa najaribu kusahau.Kila nilipofikiria kile alichonifanyia tumbo lilikuwa linatetemeka.Baada ya mahubiri ya leo nilipata muda wa kutubu,nimemsamehe my ex,kutoka moyoni.

Our divorce was one of the messiest divorce ambazo huwezi kufikiria,yaani hata arrangements za kuwaona watoto,kulipia school fees ni through our solicitors.Nimempigia simu leo my lawyer ili aweke appointment na lawyer wa my ex ili waweze kutukutanisha nimwambie kwamba nimemsamehe kama ambavyo nimetubu leo kanisani.

Wana MMU naomba tushare hii topic ya KUSAMEHE.Je umashatendwa/umizwa kiasi cha kushindwa kusamehe?Sio kuumizwa kwenye ndoa/mapenzi tu,hapana hata maisha ya kawaida,ulidhulumiwa na mtu/watu,kuna mtu/watu walikatisha ndoto zako za maisha.Yaani yale mambo mabaya uliyofanyiwa na mtu/watu kiasi ukikumbuka au ukimuona mtu/watu waliokutenda unasikia moyo kukuenda mbio au tumbo kukuuma.Je uliwasamehe/utawasamehe?.Bila kusameheana tutakuwa tunajenga kweli taifa lenye maadili na lenye kumpendeza mungu kuazia kwenye familia au mtu mmoja mmoja au familia na familia?

cc @Kaunga The Boss Karucee snowhite Sikonge Kongosho

mhh gud for u.. am in a situation ryt now kumuomba Mungu anipe moyo wa kusamehe
sana as i feel moyo umekua na ganzi n nawaza kumfanyia aliyenitenda mabaya but am crying Mungu anipe ujasiri nisamehe jaman....
 
aseeh mtani umewaza nini?
kusamehe ni somo pana sana!
na kimsingi si wote tunaweza kusamehe,hatuwezi maana tumeaminishwa kuwa tunakosewa kwa sababu sisi si bora au hatustahili kutendewa sawa!
matokeo yake tunaona kusamehe ni kuzidi kujishusha na kuwafaidisha wengine!
kumbe wakati mwingine ubora wetu hufanya wengine wakosee wakiamini kwa kuwa ni sisi,basi tutaelewa na kusamehe!

see!
lakini nani yupo tayari kukubali kuwa anabaki kuwa bora hata baada ya kukosewa na kuumizwa?
so visasi vinakuwa justified hapo!
kuuuuumbe hatupaswi kusamehe kwa kuwa kuna mtu anahitaji msamaha ni sisi ndo tunahitaji msamaha!hii haijalishi kosa ni kubwa au halitazamiki kiasi gani!na haina maana unapaswa kuprpve kwa yeyote kuwa umesamehe!msamaha ni kwa ajili ya moyo wako!
angalia wepesi unaosikia sasa baada ya kusamehe!!
boooooooonge la zawadi umejipa!
ubarikiwa mwayego!
umetupa shule kwa kweli!

asie elewa hili hataelewa tena....only big people with big hearts can forgive...
people with small hearts cant..
 
heheheh mandela alisamehe wote ila sio winnie

sijui alifanya nini huyu mama!
ila katika mambo mandela hakufanikiwa ni mahusiano yake ya kimapenzi!
anabaki kuwa mwanadamu ,hakuwa malaika!
 
walisameheana lakini
alikuwa anaenda kumuona na mpaka anaugua na kufa Winnie alikuwa karibu...
 
kwa nini hakufanikiwa?
Kwa sababu hakukubali kuwa zuzu?

Au alitakiwa amrudie?

Nakubaliana na wewe, msamaha ni kutokwazika tena na jambo ambalo mtu mwingine kakufanyia au umejifanyia. Iwe spoken au unspoken.

sijui alifanya nini huyu mama!
ila katika mambo mandela hakufanikiwa ni mahusiano yake ya kimapenzi!
anabaki kuwa mwanadamu ,hakuwa malaika!
 
aseeh mtani umewaza nini?
kusamehe ni somo pana sana!
na kimsingi si wote tunaweza kusamehe,hatuwezi maana tumeaminishwa kuwa tunakosewa kwa sababu sisi si bora au hatustahili kutendewa sawa!
matokeo yake tunaona kusamehe ni kuzidi kujishusha na kuwafaidisha wengine!
kumbe wakati mwingine ubora wetu hufanya wengine wakosee wakiamini kwa kuwa ni sisi,basi tutaelewa na kusamehe!

see!
lakini nani yupo tayari kukubali kuwa anabaki kuwa bora hata baada ya kukosewa na kuumizwa?
so visasi vinakuwa justified hapo!
kuuuuumbe hatupaswi kusamehe kwa kuwa kuna mtu anahitaji msamaha ni sisi ndo tunahitaji msamaha!hii haijalishi kosa ni kubwa au halitazamiki kiasi gani!na haina maana unapaswa kuprpve kwa yeyote kuwa umesamehe!msamaha ni kwa ajili ya moyo wako!
angalia wepesi unaosikia sasa baada ya kusamehe!!
boooooooonge la zawadi umejipa!
ubarikiwa mwayego!
umetupa shule kwa kweli!

kweli kabisa mkuu msamaha ni mhim sana kutokusamehe kuliniponza nataman siku zirudi nyuma ili npate nafasi ya kutoa msamaha kwa mhusika.
Msamaha ni mhimu sana tumewapoteza wapendwa wetu kwa kukosa msamaha
 
sijui alifanya nini huyu mama!

Hujui alifanya nini huyo Winnie? Well, alikuwa anatombwa ingali bado ni mke wa mtu. Tena basi alikuwa anatombwa na kijana nusu ya umri wake aitwaye Dali Mpofu. Huyu bwana Mpofu alikuwa ni mmoja wa mawakili wake kwenye ile kesi ya mauaji ya yule dogo Stompie Moeketsi.

Hebu deku vipande vya barua vilivyochapishwa na gazeti na Independent la Uingereza aliyoiandika Winnie kwenda kwa huyo Bw. Mpofu.

Habari inaanza hivi.....

The letter, dated 17 March and signed 'It's me', reveals how Mrs Mandela's relationship with Dali Mpofu - who at 30 is about half her age - helped wreck her marriage to Nelson Mandela. It discloses that at one point Mr Mandela, whom she calls by his family nickname 'Tata', refused to speak to her for five months because of the affair. The letter was authenticated using a copy of her handwriting.

Mrs Mandela lays bare her obsession with Mr Mpofu, who was part of her defence team during her trial for the kidnap and assault of a child activist and who later worked in the ANC's social-welfare department, which she headed.

Mrs Mandela refers to the mother of his child as a 'white hag' and accuses him of betraying her (Mrs Mandela) by 'running around fcuking at the slightest emotional excuse' (Maneno ya Winnie hayo!).

'The only time you have time to talk to me is about women ofeba nabo (a Xhosa term meaning 'women you are having sex with'), as you are doing right now. You are supposed to care so much for me that the fact that I haven't been speaking to Tata for five months now over you is no longer your concern.

'I keep telling you the situation is deteriorating at home, you are not bothered because you are satisfying yourself every night with a woman,' the letter said, adding: 'I won't be your bloody fool, Dali'. (Maneno ya Winnie hayo kwa Serengeti boy wake!)
Source

Halafu The Boss eti anasema kuwa Madiba alimsamehe Winnie wakati John Carlin kwenye kitabu chake cha "Knowing Mandela" anadai kuwa Madiba hakumsamehe kabisa Winnie!

Nelson Mandela passed away Thursday night. John Carlin in his new book ‘Knowing Mandela,' reveals why he never forgave the former wife who has visited his bedside.

kweli kabisa mkuu msamaha ni mhim sana kutokusamehe kuliniponza nataman siku zirudi nyuma ili npate nafasi ya kutoa msamaha kwa mhusika.
Msamaha ni mhimu sana tumewapoteza wapendwa wetu kwa kukosa msamaha
kumove on ni kipengele kimojawapo cha kujisamehe!
wakati mwingine kujisamehe hutupa namna ya kuanza upya!
huwezi kuishi jana isiyoweza kuwa leo!
its a wastage of time!
unatengeneza kosa usilolijua kwa huyo anayeamini uko ok naye!
totaly UNFAIR!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom