kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,914
- 7,410
Kusamehe siwezi........
Kuna mtu alinikosea sana cku nikimsamehe basi sumu itahusika
Tinna Tina pls usifanye hivo kabisa. Yan samehe kiroho safi kabisa.
Kusamehe siwezi........
Kuna mtu alinikosea sana cku nikimsamehe basi sumu itahusika
KIKUNGU jifunze haya...yatakusaidia..
ukisamehe haina maana umekubali kilichotokea kuwa na sahihi
kusamehe sometimes ni ku let go.....
kusamehe pia ni kujisamehe wewe mwenyewe
sababu mahusiano yaki collapse haliwezi kuwa kosa la mtu mmoja 100 percent
mahusiano ya wawili yaki collapse basi wote kwa namna moja au nyingine mmechangia kufika hapo
hata kile kitendo cha wewe kuingia tu kwenye mahusiano na mtu huyo ni 'kosa' lako pia..
ambalo unapaswa kujisamehe na kumsamehe ,mwenzio...
halafu love inapaswa kuwa free...usiwe unatazama uliyomfanyia kama vile alipaswa kukushukuru au kuyathamini,,
yote uliyomfanyia uliyafanya kwa sababu ya love in your heart.....na sio necessary ya love uliyopewa...
to love is to give.....so ulimpenda na uliyafanya yote........hupaswi kugeuza deni au kudai 'kushukuriwa'
It depends....
To me forgiveness requires penitence.
If you show/ express suitable penitence for what you've done wrong to me then I'd feel the need to forgive you.
But I just can't forgive you just for the sake of it. I may forget you. But that doesn't mean I've forgiven you.
What if huyo mtu anaona hajafanya anything wrong?
au na yeye anaona wewe ndio uko wrong na unatakiwa umuombe msamaha..
yaani both of you mko mnaamini mko right na mwenzio ndo yuko wrong?
In such a scenario, where those two divergent viewpoints offset each other....
I say let the stalemate continue!
stalemate ikiendelea not healthy
halafu in life sio kila unaekutana nae awe the way unavyotaka
inabidi ukubali watu wengine wako tofauti...una let go....
faida za kufahamiana na watu zinaendelea mfano wa KIKUNGU amezaa na huyo mwanamke
for the kids 'sake wanatakiwa kusameheana angalau waweze kuongea yanayowahusu watoto freely...
KIKUNGU jifunze haya...yatakusaidia..
ukisamehe haina maana umekubali kilichotokea kuwa na sahihi
kusamehe sometimes ni ku let go.....
kusamehe pia ni kujisamehe wewe mwenyewe
sababu mahusiano yaki collapse haliwezi kuwa kosa la mtu mmoja 100 percent
mahusiano ya wawili yaki collapse basi wote kwa namna moja au nyingine mmechangia kufika hapo
hata kile kitendo cha wewe kuingia tu kwenye mahusiano na mtu huyo ni 'kosa' lako pia..
ambalo unapaswa kujisamehe na kumsamehe ,mwenzio...
halafu love inapaswa kuwa free...usiwe unatazama uliyomfanyia kama vile alipaswa kukushukuru au kuyathamini,,
yote uliyomfanyia uliyafanya kwa sababu ya love in your heart.....na sio necessary ya love uliyopewa...
to love is to give.....so ulimpenda na uliyafanya yote........hupaswi kugeuza deni au kudai 'kushukuriwa'
Not healthy per who? Because some of us are wired very differently.
I ain't got no argument there.
True that! And you can let go without apologizing especially if in your heart of hearts you believe you didn't do anything wrong.
But every situation has its own set of unique facts.
Kama wote wahusika wakiridhia kusameheana, sioni shida. Acha tu wasameheane.
stalemate ikiendelea not healthy
halafu in life sio kila unaekutana nae awe the way unavyotaka
inabidi ukubali watu wengine wako tofauti...una let go....
faida za kufahamiana na watu zinaendelea mfano wa KIKUNGU amezaa na huyo mwanamke
for the kids 'sake wanatakiwa kusameheana angalau waweze kuongea yanayowahusu watoto freely...
Wakina Botha hadi wanakufa waliamini kabisa hakuna kosa walilolifanya kumfunga Mandela
na kuweka ubaguzi..
but Mandela hadi kumzika Botha alienda kumzika na kasamehe......hapo unaona faida ya kuwa na a big heart...
Kusamehe siwezi........
Kuna mtu alinikosea sana cku nikimsamehe basi sumu itahusika
Sasa kama waliamini hivyo tatizo liko wapi? Manake imani ya mtu ni imani ya mtu. Si wengine hatuwezi kufanya lolote juu ya hilo.
Ni kama tu wale wanaoamini mungu kupitia dini na madhehebu mbalimbali. Ni mtu tu mwenyewe mwenye uwezo wa kubadili imani yake kwani mara nyingi kama si zote, imani ni fikra zinazoelea tu akilini kwa mtu.
Sasa faida hapo iko wapi? Na iko kwa nani?
Ha ha ha ha wewe Kongosho wewe,no i have moved on.Mawasiliano ya mara kwa mara hasa issues za watoto
faida ipo kwa wananchi wao wakiwa kama leaders..kusamehe kwa Mandela kumeunganisha watu wa rangi zote
na wewe inaweza kukuhusu katika level ya kifamilia....faida kwa watoto
huo ni mfano tu
Context is everything Bossman!
Huyo huyo Mandela mbona hakumsamehe Winnie baada ya kugundua kuwa alikuwa anatombwa na vijana wadogo kabisa?
Si angemsamehe tu waendelee kuishi kama mke na mume....
Nimejikuta nacheka tu.....
alimsamehe ila hakutaka mahisiano ya mke na mume...yaendelee but alisamehe
Hahaaaa sasa ndo kusamehe gani huko?
Kwa nini sasa hakutaka waendelee kuwa mume na mke kama kweli alimsamehe kwa moyo mmoja?
Halafu kuna sehemu ambapo yeye Mandela alikiri kuwa alimsamehe? Unacho chanzo? Nitashukuru kama ukinipatia ili nami nijionee alichokisema.
Nimesahau source but alisema kasamehe.....