Kusaidia ukweni ni hiyari, sio lazima

Kusaidia ukweni ni hiyari, sio lazima

Ni kweli.

Ndio maana siku hizi wake zenu nao wanawajibika kwa familia na wazazi wake pekee...

Kila mtu anabeba wanaimhusu
 
Bora umesema mkuu

Juzi juzi nilimtembea brother wngu mmoja, pale home nilikuta wamejaa watoto kama 6 wa 3 wapo primary, wawili wamemaliza form four mmoja kafeli mmoja kafaulu...mwengine yupo tu

Hao watoto wote ni ndugu wa upande wa mwanamke, yaan mzigo wote huo anahudumia yeye nimeacha ndio anahangaika na huyo aliyemaliza form four aliyefaulu ampeleke chuo

Asee nilimuonea huruma sana bro, ukizingatia kipato chake ni cha wastani tu

Ila hawa wanawake nao sometime ndio majipu yenyewe..unakuta jamaa kila anachoambiwa na mkewe yeye ni sawa tu, hasikii wala haoni

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa. Teh teh teeh

Ila saa nyingine vinashangaza. Eti shemeji kama wewe dada akisema kuna ndugu ana shida huwezi kumsaidia?.

Ni jambo la kushangaza Kweli.

Ila mimi na mtanga, nilimwambia familia yako ni yangu. Since then, nikawa naangalia issues za home kwao kama kwangu na home kwetu.

Mwisho, ikawa naye amegeukia home kwetu kuwaangalia.
Though, wote familia hazikuwa na hali ngumu za maisha sasa hapo tunakuwa tunaangalia hadi almost ndugu wa ukoo I mean wale ndugu wa nje kabisa katika familia zetu zile mbili.

Yaani, tunawapa kila kitu na tunapata sana pesa

Kwa hiyo mdada kuacha familia yake na kuishi na mkaka ni lazima mkaka aheshimu familia ya huyo mdada na awasaidie. Kuanzia hapo, mdada naye atafuata.
 
Ni jambo la kushangaza Kweli.

Ila mimi na mtanga, nilimwambia familia yako ni yangu. Since then, nikawa naangalia issues za home kwao kama kwangu na home kwetu.

Mwisho, ikawa naye amegeukia home kwetu kuwaangalia.
Though, wote familia hazikuwa na hali ngumu za maisha sasa hapo tunakuwa tunaangalia hadi almost ndugu wa ukoo I mean wale ndugu wa nje kabisa katika familia zetu zile mbili.

Yaani, tunakapa kila kitu.

Kwa hiyo mdada kuacha familia yake na kuishi na mkaka ni lazima mkaka aheshimu familia ya huyo mdada na awasaidie. Kuanzia hapo, mdada naye atafuata.
Ewaaaaa. Teh teh teh.

Hivyo shemeji ndio inavyopaswa iwe. Ila mwisho wa siku kila mtu atafanya kile anachokiona kinafaa na ni bora kwa upande wake na wa mwenzake pia.
 
[emoji121]
HII TABIA YA MASHEMEJI KUOMBANAOMBANA HELA KIZEMBEZEMBE HUU NI KUTAFUTIANA LAWAMA KWA BEI NAFUU!

NASISITIZA,
HUU NI UTARATIBU M'BOVU NA WA HOVYO KABISA HUU!!!!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]

Sent from my IPhone 8+ using JamiiForums mobile app.
 
Ukishakuwa mbinafsi ndo umimi unaleta mpasuko kwenye ndoa....

Binafsi Siwezi kukulazimisha uwasaidie ndugu zangu, Ukiona kuna umuhimu wasaidie, Ukiona hamna umuhimu acha tuu!!!! Manake watu ka nyie ukikosa kidogo tuu utakumbushwa na sukari alinunuliwa Mamangu....

Mie bado naamini wapo wanaume wanaobeba shida za wake zao ka za kwao.... Nimesema WANAUME na sio wanaume
 
Ewaaaaa. Teh teh teh.

Hivyo shemeji ndio inavyopaswa iwe. Ila mwisho wa siku kila mtu atafanya kile anachokiona kinafaa na ni bora kwa upande wake na wa mwenzake pia.

Hasa ifanyike Kwa makubaliano yaani mkubaliane then, hapo mnaona maisha yanakuwa rahisi sana na ndoa inakuwa kila siku ni paradise.
 
Hasa ifanyike Kwa makubaliano yaani mkubaliane then, hapo mnaona maisha yanakuwa rahisi sana na ndoa inakuwa kila siku ni paradise.

Kweli kabisa my shemeji. Endelea hivyo hivyo hizi nyingine mi huwa naziita porojo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiki kitu kinakela sana, mke anataka kila unachotoa kwenu basi na kwao upeleke sawa na kwenu, huu ni uendawazimu yaani mimi kwetu wamenilea,wamenisomesha mwisho wa siku mimi imenigharimu kukuoa, nimejibana kila namna natoa matumizi ya wazazi wangu eti na mke anataka kwao nipeleke matumizi sawa na kwetu?
Kama mnajua usawa kwanini hamkwenda kwetu kutoa posa, kwanini hamkupeleka mahari kwetu? Wanawake acheni ujinga

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
msaidie pote kwa kadii ya uwezo wenu mkuu.
umeanza vizuri lkn suala la kumalizia utasaidia wazazi wako tu linatengua umoja wenu.
First priority ni familia zetu, wazazi wa pande zote pia tunawasaidia kwa kadili ya uwezo bila upendeleo ila sio lazima.
Hivi mnajua majukum ya mume kwa mkewe?

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Mnaambiwa muishi na wake zenu kwa wema.
Sawa sio lazma kuhudumia kwao Ila ni katika vtu vitakuongezea mapenzi kwa mkeo kuona unaijali familia yake!

Utajiskiaje siku unamsifia mama yako kavaa gauni zuri afu akakwambia mkeo ndo alinipa hiki kitenge?!!..au ukaona mama yako kimya haombi hela mwezi huu kumbe mkeo ndo amesababisha?!!!

Basi na unapomfanyia mkeo,mapenzi yake juu yako yanaongezeka Mara dufu
Sema yote mkuu ila jambo la kuzingatia ni kwamba kusaidia ukweni ni hiyari wanawake wengi wanataka kufanya kama jambo hili ni lazima napia ni jukumu la mume, wanawake kuweni makini

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Hivi mnajua majukum ya mume kwa mkewe?

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
ndoa ni mke na mme kuungana na kuw kitu kimoja huku wote wakiwa wamehama kwao physically. kwa mtazamo wa kikristo. Sijui unataka kuzungumzia nini...
 
Umaskini. Wanandoa wanatakiwa kujenga familia bora. Sio kulea wakwe au wazazi. Sio deni. Walitimiza majukumu yao. Wasidai

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Mimi bwana huwa nasaidia sana Babu na Bibi wa pande zote lakini sijui mama/baba au wakwe zangu, mashemeji sijui nani na nani huko hapana kwa kweli sitoagi kitu.
 
Ujumbe sahihi

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Napenda kuwaachia ujumbe huu wake/wapenzi wetu,wakwe na mashemeji kwamba kusaidia ukweni hususani mume kusaidia upande wa mwanamke ni kitendo cha hiyari na sio lazima

Kitendo hiki cha hiyari ni katika namna ya kujenga mahusiano ya karibu katika shida na raha nimekuwa kikichukuliwa na baadhi yetu kwamba ni wajibu kwa mwanaume kuchangia shida za ukweni.

Ni dhahiri kuwa mimi kama kijana niliyemuoa binti yenu ninawajibika kulipia mahali na kumtunza vyema binti yenu,mambo mengine ya ukweni ni mambo ya hiyari kadri ninavyoguswa na ukubwa au unyeti wa tatizo. Nimeamua kusisitiza hili kutokana na sisi mabraza kukutana na kesi nyingi za wadada kulazimisha mabwana wasaidie kila kitu kwa wazazi na wadogo wake. Unakuwa umewekewa mpaka bajeti za ada za shule za wadogo zake mke. Hii haikubaliki hasa kutokana na hali ya Magufuli.

Mimi kama mume ninawajibika kwa familia yangu na wazazi wangu pekee.

Karibu ni kwa maoni
Km kusaidia ukweni especially kwa mkeo unaona tabu mbona ndugu WA kiume wanatuomba pesa wake zenu km vile walinipa niwatunzie ???au mi ni halal nisaidie kwenu afu we usisaidie kwetu?cha muhimu ni maelewano yenu na tabia zenu ila usije hapa kudai upande WA like wanaomba msada mbona ndugu zenu wanatuganda hatusemi

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom