Kusaidia ukweni ni hiyari, sio lazima

Kusaidia ukweni ni hiyari, sio lazima

Km kusaidia ukweni especially kwa mkeo unaona tabu mbona ndugu WA kiume wanatuomba pesa wake zenu km vile walinipa niwatunzie ???au mi ni halal nisaidie kwenu afu we usisaidie kwetu?cha muhimu ni maelewano yenu na tabia zenu ila usije hapa kudai upande WA like wanaomba msada mbona ndugu zenu wanatuganda hatusemi

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Yote ni mambo ya hiyari,sio lazima!
 
Mnaambiwa muishi na wake zenu kwa wema.
Sawa sio lazma kuhudumia kwao Ila ni katika vtu vitakuongezea mapenzi kwa mkeo kuona unaijali familia yake!

Utajiskiaje siku unamsifia mama yako kavaa gauni zuri afu akakwambia mkeo ndo alinipa hiki kitenge?!!..au ukaona mama yako kimya haombi hela mwezi huu kumbe mkeo ndo amesababisha?!!!

Basi na unapomfanyia mkeo,mapenzi yake juu yako yanaongezeka Mara dufu
..sijawahi kuona hii kitu,..Mara nyingi mnasaidia kwenu tu...Zaidi utamsingizia mama mkwe wako mchawi..
 
Ukishakuwa mbinafsi ndo umimi unaleta mpasuko kwenye ndoa....

Binafsi Siwezi kukulazimisha uwasaidie ndugu zangu, Ukiona kuna umuhimu wasaidie, Ukiona hamna umuhimu acha tuu!!!! Manake watu ka nyie ukikosa kidogo tuu utakumbushwa na sukari alinunuliwa Mamangu....

Mie bado naamini wapo wanaume wanaobeba shida za wake zao ka za kwao.... Nimesema WANAUME na sio wanaume
Tena hao siku akikosa kazi na kufulia anakuuliza kwani huwezi muomba kaka yako ukafanya hata kibiashara kidogo au yeye alikuwa anasaidia ndugu zake siku zimeisha mke naye kamtaji kavitenge kamekuwa anaanza basi nami kidogo nimtumie mama ukimnyima anaanza wanawake wana roho mbaya kama anampenda mke sizani kama anaweza shindwa msaidia mama wa mkewe

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Hiki kitu kinakela sana, mke anataka kila unachotoa kwenu basi na kwao upeleke sawa na kwenu, huu ni uendawazimu yaani mimi kwetu wamenilea,wamenisomesha mwisho wa siku mimi imenigharimu kukuoa, nimejibana kila namna natoa matumizi ya wazazi wangu eti na mke anataka kwao nipeleke matumizi sawa na kwetu?
Kama mnajua usawa kwanini hamkwenda kwetu kutoa posa, kwanini hamkupeleka mahari kwetu? Wanawake acheni ujinga

Nothing is easier than blaming others for your own problems
Kama hamuwezi majukumu mngekuwa mnaoana ndugu ili isiwe ghalama kubwa mali kwa mali

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mnajua majukum ya mume kwa mkewe?

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Wanaume wa mwendokasi kasi na ndiyo maana wanaume wakitangulia mbele ya haki ndugu wanabeba vitu vyote watoto wanakuwa mzigo wa mama na wajomba

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Sema yote mkuu ila jambo la kuzingatia ni kwamba kusaidia ukweni ni hiyari wanawake wengi wanataka kufanya kama jambo hili ni lazima napia ni jukumu la mume, wanawake kuweni makini

Nothing is easier than blaming others for your own problems
Kuna mwingine anakuwa bise na ndugu zake mpaka anasahau mke ndiyo maana wana leta kutoelewana kwa wana ndoa kama bado upo na ndugu saidia kwanza ndugu ukiridhika ndiyo oa, kuna mbaba mmoja alikuwa analalamika kachelewa kuoa kisa anasomesha wadogo zake anakaribia kustaafu mwanaye wakwanza yupo form six cha ajabu madogo wakimaliza tu wanaoa kuja kushituka kawa kibabu na madogo wana watoto wakubwa niambie kastaafu kama wanamjua sasa

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Km kusaidia ukweni especially kwa mkeo unaona tabu mbona ndugu WA kiume wanatuomba pesa wake zenu km vile walinipa niwatunzie ???au mi ni halal nisaidie kwenu afu we usisaidie kwetu?cha muhimu ni maelewano yenu na tabia zenu ila usije hapa kudai upande WA like wanaomba msada mbona ndugu zenu wanatuganda hatusemi

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Sema hata wewe wanashindwa kuwaomba kaka zao wanaomba kwa mashemeji wakipata kazi wana anza mke wa kaka sijui kafanya nini Mungu anawaona kwakweli

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kama hamuwezi majukumu mngekuwa mnaoana ndugu ili isiwe ghalama kubwa mali kwa mali

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Shauri kua tuangalie familia zakuoa,ukiona ni maskini sana na hawana haya,wanaombaomba tu,unsmfanya mtoto wao anajua mchepuko tu,na unaamua kuoa yule ambaye kwao hamna shidashida na wanahaya yakuombaomba pesa.KUOA SIYO KUJITWISHA MSALABA wa mateso,after all,kuna madhira mengi sana àmbayo yanaonyesha kua mwaaume hatakiwi kuthamini familia ywanamke ambaye wazazi au walezi wameshindwa kumtunza,akalelewa namwishowe wamemuacha amekua tu,nakuolewa huku akiwa anatoka na maex zake na wirkmates maofisini bila nidhamu,kama matokeo yamsingi mbovu wa malezi.
 
Kama hamuwezi majukumu mngekuwa mnaoana ndugu ili isiwe ghalama kubwa mali kwa mali

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
We hujitambui! mwanaume anajitolea kukuhudumia kwa kila kitu hlf unataka ajitwike zigo la kulea wazaz dah! yaan ayo ni mapenz tu pind mnapojaaliwa ila sio ratiba kuhudumia kwao au swali la msingi hana kaka? au je ni kila tukijaaliwa watoto waende ukwen wakalelewe? na ndo maana vijana wanaogopa kuoa kwan anahis ataingia kwenye majukun sio ya msingi! pia la hivi unaonaje km bint yk unaye nyumbn hakuolwa hlf unataka akusaidie hiv itakuwaje hapo? atauza papuchi au?

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Mmh umejenga hoja yako kwa upande wako ulitakiwa usime kati kwa kuelezea pia kua jamaa wa mume mke hawamuhusu hivyo nae hapaswi kusumbuka kwa ajiri yao kwani mke kaolewa na wewe mmoja wala hajaolewa na kumi na moja. Hahaha hii yoote ni dalili za uchoyo na kwa kawaida choyo hakijawahi kumuacha mwana ndoa salama.

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
kwa hiz dalili wanaume ndo maana wanawwakimbiq kila leo

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Wengine mnajidai hapa hamtaki kusaidia ukweni na ndugu wa mke wakati waliowafikisha hapo mlipo ni waume wa dada zenu, wamewasomesha na kuwatafutia kazi, baada ya kufanikiwa mmeoa mmesahau kabisaaa mliko toka, mfyuuuuùu zenu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mmh umejenga hoja yako kwa upande wako ulitakiwa usime kati kwa kuelezea pia kua jamaa wa mume mke hawamuhusu hivyo nae hapaswi kusumbuka kwa ajiri yao kwani mke kaolewa na wewe mmoja wala hajaolewa na kumi na moja. Hahaha hii yoote ni dalili za uchoyo na kwa kawaida choyo hakijawahi kumuacha mwana ndoa salama.

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
Umeona ee alivyo mbinafsi mbegubora29 hivi mke azuzuke tu na ndugu wa mme lakini wakwake waonekane si kitu hivi huyo mke atapata amani kwa hao shemeji zake huyu mbegu mbovu atakuwa mchoyo tena yawezekana kalelewa upande mmoja,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom