Kusaidia ukweni ni hiyari, sio lazima

Kusaidia ukweni ni hiyari, sio lazima

Wengine mnajidai hapa hamtaki kusaidia ukweni na ndugu wa mke wakati waliowafikisha hapo mlipo ni waume wa dada zenu, wamewasomesha na kuwatafutia kazi, baada ya kufanikiwa mmeoa mmesahau kabisaaa mliko toka, mfyuuuuùu zenu

Post sent using JamiiForums mobile app
Ndiyo tunawashangaa wametoka maporini kwao nakufikia kwadada zao na kulala masebuleni sahizi wanawagomea shemeji zao kuwasaidia

Post sent using JamiiForums mobile app
 
We hujitambui! mwanaume anajitolea kukuhudumia kwa kila kitu hlf unataka ajitwike zigo la kulea wazaz dah! yaan ayo ni mapenz tu pind mnapojaaliwa ila sio ratiba kuhudumia kwao au swali la msingi hana kaka? au je ni kila tukijaaliwa watoto waende ukwen wakalelewe? na ndo maana vijana wanaogopa kuoa kwan anahis ataingia kwenye majukun sio ya msingi! pia la hivi unaonaje km bint yk unaye nyumbn hakuolwa hlf unataka akusaidie hiv itakuwaje hapo? atauza papuchi au?

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Wewe hujitambui hao hao wenye pesa zao kwao ndiyo hao hao mnalalamika wanaviburi wanaume hamna jema hata kidogo huwezi lazisha kusaidia bali ni akili ya mtu na utu wako wewe utakuwa mchoyo sana hadi budget ya jikoni unaijua, ndugu wa mke wakija kwako hupungui jikoni

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Shauri kua tuangalie familia zakuoa,ukiona ni maskini sana na hawana haya,wanaombaomba tu,unsmfanya mtoto wao anajua mchepuko tu,na unaamua kuoa yule ambaye kwao hamna shidashida na wanahaya yakuombaomba pesa.KUOA SIYO KUJITWISHA MSALABA wa mateso,after all,kuna madhira mengi sana àmbayo yanaonyesha kua mwaaume hatakiwi kuthamini familia ywanamke ambaye wazazi au walezi wameshindwa kumtunza,akalelewa namwishowe wamemuacha amekua tu,nakuolewa huku akiwa anatoka na maex zake na wirkmates maofisini bila nidhamu,kama matokeo yamsingi mbovu wa malezi.
Hata wewe mme wapo ombaomba sizani kama wanakuwa upande mmoja kuna mkaka ndugu zake wanaomba mpaka anapata pressure sasa hapo wangekuwa ni ni upande wa mke si angekuja humu kuomba ushauri, wewe ki2c e.g una dada zako 3 mbele kweli hujawahi pewa msaada na shemeji yako? Mbona mnatumwaga sana kwa mabwana wa dada zenu jamani tuwe wakweli?

Nilipo hapa sijawahisaidiwa na shemeji yangu,najua anayo majukumu yake na familia yake,mimi sipendi,na nawakilisha wanaume wasiopenda kuombwaombwa misaada kwa na mashemeji au upande wa mwanamke hovyohovyo hadi kuathiriana kisaikokijia nakiuchumi.

Mwanamke anatakiwa ajue kua yeye kaolewa kama yeye,hajaolewa ili aunganishe matatizo,kama mimi nu mume inatakiwa nisaidie kwakutaka nasiyo napewa majukumu mengi yakusaidia hadi mimi nadumaa kiuchumi,mbaya zaidi nikidumaa kiuchumi inafikia kipindi hadi nsshindwa kufanya tendo landoa kwa ukamilifu,mwishowe mke huyohuyo anaanza kunidhalilisha kwakutembea hovyohovyo nje yandoa,na nisipoangalia nabambikiziwa na watoto.Na nisipoangalia,ndiyo mwisho wa siku nakuja kufa na magonjwa kama kiharusi,nayeye mke wangu anabaki anaolewa na mtu mwingine.

Sisi wanaume tusipokua makini,tutaendelea kutangulia kufa nakuacha wake zetu endapo hatutakua makini katika kuchagua wake wakuoa,kama ukiona mwanamke huyu pamoja na ndugu zake ni tatizo baadae,temana na huyo mwanamke,awe mchepuko tu,utakua unamla kwastahili nyingine,oa yule ambaye sitatizo kwako.
 
kamua baba kamua baba,umetisha
 
Ukishakuwa mbinafsi ndo umimi unaleta mpasuko kwenye ndoa....

Binafsi Siwezi kukulazimisha uwasaidie ndugu zangu, Ukiona kuna umuhimu wasaidie, Ukiona hamna umuhimu acha tuu!!!! Manake watu ka nyie ukikosa kidogo tuu utakumbushwa na sukari alinunuliwa Mamangu....

Mie bado naamini wapo wanaume wanaobeba shida za wake zao ka za kwao.... Nimesema WANAUME na sio wanaume
wanawake wengi mmepinga sana,ndio ujinga wenu (sio tusi) ulipo. Huko kwenu si kuna kina kaka,kwa nini wasiwajibike kusomesha watoto wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom