Kusaga nazi kwa blender

Kata vipande vidogovidogo,lakini ni vizuri blender iwe at least ya watt 500,chini ya hapo,andaa bajeti ya blender nyingine baada ya matumizi ya mda mfupi
 
Inawezekana...

Kuna aina tofauti za blender pamoja na visu vyake...

Nakushauri vizuri ununue zile heavy duty, ukipata brands za UK au US ni nzuri zaidi mfano kama Ninja n.k
 
Eti kuna wengine wana blend na kisamvu badala ya kutwanga kwenye kinu

Halafu wala hakinogi

Tatizo ni nini?

Uvivu au ndo kuzani kisasa zaidi?
 
Kisamvu cha nazi jamani kilichotwangwa na kulainika kwenye kinu asili, uweke vitunguu swaumu, uweke nazi, uchanganye na nyama poli, au ukumangie na samaki wa kukaanga tasi, changu, chewa, papa, kolekole n.k
 
shilingi ngapi hizo heavy duty?
Inawezekana...

Kuna aina tofauti za blender pamoja na visu vyake...

Nakushauri vizuri ununue zile heavy duty, ukipata brands za UK au US ni nzuri zaidi mfano kama Ninja n.k
 
Sokoni na maeneo ya magengeni huwa nakuta kuna mashine ya kukunia nazi

Unachagua nazi unakuniwa fastaaa kwa bei chee kabisa unachukua take away yako

Si nzuri kuiweka kwenye friji inaanza poteza ile freshness mapema sana
Km nikiweka naitumia ndani ya siku mbili
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom