Kusaga nazi kwa blender

Mimi nakuna kwanza alafu nasaga pamoja na maji ya uvuguvugu kidogo kidogo kupata tui zuri.

Ila ukisaga bila ya kukuna utapoteza tu nazi mana hata kutapata tui zuri labda kama unataka kutengeneza chatne.
Wazungu wanakuna na nini? au na hizi kama za kwetu za kienyeji?
 
Inawezekana...

Kuna aina tofauti za blender pamoja na visu vyake...

Nakushauri vizuri ununue zile heavy duty, ukipata brands za UK au US ni nzuri zaidi mfano kama Ninja n.k

Bei ya ninja na vitamix unazijua mkuu?
Usimdanganye izo brand wewe mwambie anunue heavy dutybasi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wapo wabongo huziuza kama second hand kwa bei nzuri tu...

Wapi apo mzee maana mimi nlitafuta sana nkakosa
Vitamix bei ya chini wanauza mpk 700k ile sound proof kuna jamaa anadeal na Juice dodoma alinunua 1.6M


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom