Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

toleo la MAWIO la jana,limeripoti kikamilifu clouds kutumika na CCM kisiasa na kipropaganda!!

clouds fm wameshiriki kuandaa na kuomba zaidi ya 2.5 bln kutoka Ikulu kwa ajili ya propaganda ya kuhimiza kura ya ndio ya kura ya katiba ya CCM,mchanganuo huo umeandikwa na RUGE MUTAHABA ukihusisha pia wanamziki wa clouds kwa wingi walio chini ya THT!!!

Kusaga wala RUGE hawawezi kukili waziwazi ila watambuzi wa mambo wanajua na wao pia unafiki wao wanaujua,wao kwao ni pesa tu kwanza!!!!
Mungu akulinde sana mkuu .
 
Kwani umelazimishwa kuisikiliza? au una share kwenye hiyo radio? Tafuta stesheni nyingine kuliko kutoka povu bilan sababu yoyote mbona mimi sinunui gazeti la tanzania daima wala sipigi kelele nanunua magazeti nnayo ona yananifaa
Umenifurahisha wa ukae, watu tunabaki kulalamikia wakati kila point kwenye search za radio ina station.
Mfano mimi sijui hata hii claudia radio inapatikanaje na mfanyakazi wao ninayemfahamu zaidi ni kibonde ambaye namuonaga kwenye kipindi cha NHC na michepuko, na nilivyomuuliza rafiki yangu ndio akaniambia ni mfanyakazi wa radio moja huko dar es salaam. Huwa najaribu kufikiri kama na wafanyakazi wengine wa hiyo radio nao wako kama yeye!

 
Masikini!!!! Namuonea HURUMA sana Kibonde, huyu jamaa maana hata katika dakika hizi za mwisho hajakumbukwa uDC. Pole zake.
Unayo hoja, lakini hebu rudi kwenye drawing board ....Kibonde na makonda unadhani nani alifaa zaidi huo udcmm!?

 
MZANDIKI TU YULE,,ANAITWA GENTAMYCINE (Last Activity Today 11:41).ATAKUWA ANAISOMA hii thread kimyakimya

Tetesi: Siri imefichuka, Rostam Aziz ainunua Clouds Media

Started by GENTAMYCINE, 18th February 2015 10:52


hii ni roho ya kichawi..
huyu mdau akamuelimisha vizuri tu

kwa roho yake ya uzabizabina akaendelea kusisitiza..



some people are alive just because it is illegal to kill them..
nilipouliza hivi.

nikaambulia hiki..


baada ya kuhisi atabumbuliwa kwa rohombaya yake..akaja na mada nyingine..
Naenda Likizo ndefu na sitokuwepo humu kama mwaka hivi, Je niwaleteeni zawadi gani Membaz?

Started by GENTAMYCINE, 18th February 2015 13:01
..majungu si mtaji..

Hapana huyu ana ID zaidi ya mbili.....so yupo hapa

hapa

hiyo kusema anasafiri kurudi mpaka mwakani

ni janja ya kukimbia uongo aliouandika.
 
Basi wewe si Mbongo..

Halafu..

Mwanakerekwe = Mwanakwerekwe

Umenikamata...! hah ha ah..!

Bila kukosea vile ungeniuliza tena Mwanakwerekwe sehemu gani, sheha je, nani mwakilishishi wako baraza la wawakilishi zanzibar, na maswali mengi mengi...! Na ningekupa majibu yote hayo, ingeua maana ya kutumia ID ya TUJITEGEMEE hapa JF. Hivyo, kwa haraka unaweza kuona umenikamata...lakini kwa upole upole nimekukamata.

Jioni njema, mkuu.
 
Clouds wako kama malaya.Huku wanataka wasikilizaji huku wanakumbatia magamba ambao hao wasikilizaji wamewadiss.Wachague moja lilio sahihi.
Kama ni issue ya kipiga hela ni poa ila wajue CCM ikifa nao watakuwa wamezikwa moja kwa moja
 
Jf ina vichaa wengi siku hizi, mwenyewe anasa hajaiuza clouds we unamwita muongo! kwani ulisaini kama shahidi wa mauzo ya clouds au ulikuwa dalali!

Naona kichaa mwingine umeongezeka, nazungumzia he is lying about clouds kuwa haina uhusiano na chama chochote, clouds fm ni CCM tena waziwazi

Sasa karibu kwenye kundi letu la vichaa, tuko wengi tu

ny'ambaff
 
Aache ujinga ......Aseme clouds redio kwenye programme ya CCM kushinda kura ya maoni kwanini ametoa commission ya asilimia 61% .......amewasamehe 251 milioni .......kwa ajili ya Promotions za kura ya maoni ..........akanushe niweke nyaraka
 
A rose by the side of the road is not as valuable as the one well kept in the garden. . . . . .
It is a question of scent bro and the value is in the scent and not necessarily in a well kept garden
 
Mbona hujaclarify kwamba ninyi mnaomfahamu Kusaga tangu ujana wake mnamfahamu vipi?! inawezekana mnamfahamu kama mtu mwenye bei kichwani! ananunulika? anaweza kutumika kwa namna yoyote ile ili mradi aneemeke kimaslahi?!
Asifuye mvua imemnyeshea! hakuna takwimu zinazooonyesha kuongezeka kwa wasikilizaji wa clouds FM; na mvuto ni neno la uwiano (relative term); na waingereza husema "Beauty is in the eyes of the beholder"; Ndugu; kinachokuvutia wewe Clouds FM sio lazima kiwavutie wengine!
You are coming to my point kuwa ukiangalia sana media ya sasa hivi inaendeshwa na wasikilizaji angalia jinsi watu tena wasomi wanavyopenda kununua magazeti ya udaku shigongo anacheka lakini serious newspapers wanalia kuhusu gharama za uendeshaji
 
Audiences wa Clouds Media Group wenyewe wanalalamika kila leo kuhusiana na hili suala ila leo majibu ya Mr Kusaga duh!kama sijayaelewa elewa vizuri vile.....
 
You are coming to my point kuwa ukiangalia sana media ya sasa hivi inaendeshwa na wasikilizaji angalia jinsi watu tena wasomi wanavyopenda kununua magazeti ya udaku shigongo anacheka lakini serious newspapers wanalia kuhusu gharama za uendeshaji

On a serious note nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa na hili jambo ndilo linalodumaza akili za watanzania na kupelekea nchi yetu kudidimia kufikia hapa ilipo katika nyanja mbali mbali; no more serious thinkers!; Udaku Alpha na Omega! kila mtu mizaha mizaha tu na akili za mbayuwayu!
Tujisahihishe kwa maslahi mapana ya nchi yetu na vizazi vijavyo
 
Aache ujinga ......Aseme clouds redio kwenye programme ya CCM kushinda kura ya maoni kwanini ametoa commission ya asilimia 61% .......amewasamehe 251 milioni .......kwa ajili ya Promotions za kura ya maoni ..........akanushe niweke nyaraka

- Clouds ni peoples Station na wala haina mpinzani bongo, wanajua kazi yao hawahitaji kufundishwa na Chadema na UKAWA walioshindwa hata kura za Serikali za Mitaa wataweza kuzipangia Radio cha kufanya haya ni maajabu na kweli na only in bongo sijasikia Democrats wakilalamikia FOX5 News, hamuwezi siasa rudini Mererani basi hahahaha

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom