Kusaga aja na stesheni mpya ya redio

BBC Itahamia wapi kama 103.3 Channel itachukuliwa na Clouds?
 
Na wewe acha kulisha watu matangopori... Escape one haiko chini ya clouds Media Group Bali huo ni mradi binafsi wa Jo Kusaga kama ilivyo Escape Two. Clouds M Group ni Kampuni ya familia Nzima Ya Kusaga(Kusaga's) inayomiliki 70%shares..
Unaweza kuthibitisha unachosema?
 
Maana ndio biashara iliyo mtajirisha, na anaielewa vizuri... Waliboa walivyobadilisha choice fm to a Swahili channel..
Sisikilizi Tena Sikuizi Imekua Kama Ile Redio Ya Visingeli. Nilikua Lazma Nimsikilize Vanessa Mdee Na Joey Hata Niwe Kwenye Lecture Ya Prof. Palamagamba Kabudi Au Dr. Tulia Ackson. Ila Sikuizi Daaah. Waliniboa Kishenzi Majamaa.
 
Hivi huyu jamaa aliyemwambia biashara ni ya media pekee ni nani? hata hvyo kwa nini asingejikita kwenye kuiinua choice fm kabla ya kuanzisha nyingne?
Choice ilikuwa zinga la station na ingekuwa kubwa zaidi kipind cha kina vee na hitlist.....baby,Abby,Chris's,.....baada ya hapo ikapotea iliporudi sasa mamaaaa so ndio hadi giggy money ni presenter Mara idriss naye yumo


Halafu ilikuwa kiingereza tupu yaani ilikuwa zinga la station nilikuwa sisikilizi redio nyingine


Ila hata hivyo age ya radio inaendea ukingon siku hiz nastream karibu kila kitu kuanzia mziki,podcast n.k

Sikumbuki Mara ya mwisho nimesikiliza redio lini
 
Sisikilizi Tena Sikuizi Imekua Kama Ile Redio Ya Visingeli. Nilikua Lazma Nimsikilize Vanessa Mdee Na Joey Hata Niwe Kwenye Lecture Ya Prof. Palamagamba Kabudi Au Dr. Tulia Ackson. Ila Sikuizi Daaah. Waliniboa Kishenzi Majamaa.
Ilikuwa nzur kinoma yaan
 
Radio kama ile choice FM kuna siku utamkuta Harmorapa ni mtangazaji.
Yap ikiwa giggy money kaweza ndio atashindwa harmorapa yaani Sijui pengine watu wengi ndio wanapenda after all watanzania tunaoweza kusikiliza radio English tupu in wachache soon muda so mref harmorapper atakuwa Millard ago mpya na yeye kwenye countdown yakr
 
Ilikuwa nzur kinoma yaan
Acha tu. Hitlist walikua wananipa updates za movies,na ngoma zao za mbele zote zilikua brand new. Abby na Jimmy Kabwe walikua wananikonga nyoyo sana. Siku nilipofall in love ilikua siku Vee Money kamuhoji AliKiba,alafu wakawa wanaimba live. I could pay for Hitlist to be back, Vee Money na Joey I really miss those guys.
 
Back
Top Bottom