Kusaga aja na stesheni mpya ya redio

Kusaga aja na stesheni mpya ya redio

Hivi huyu jamaa aliyemwambia biashara ni ya media pekee ni nani? hata hvyo kwa nini asingejikita kwenye kuiinua choice fm kabla ya kuanzisha nyingne?
Wewe ulitaka afanye biashara gani kama unawazo mbadala mshauri siyo unalalamika tu. Kumbuka katika biashara usikimbilie eneo ambalo hukijui vizuri na huna uzoefu nalo. Ndipo maana biashara ndogo nyingi sana zinakufa kila siku mojawapo ya sababu kubwa ni kwamba wengi wanaanzisha biashara kwa kuiga bila kuielewa biashara husika japo kwa undani wake.
 
Station mpya ya redio imetua jijini Dar es
Salaam. Inapatikana kwenye masafa ya 103.3
(zamani yalikuwa yakitumiwa na BBC).
View attachment 472351
Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph
Kusaga, station hiyo inaonekana kuwa ya muziki
peke yake na tayari imepewa sifa za kuwa
‘Africa’s Number 1 Hits Station.’ Ni wazi kuwa
inamilikiwa na kampuni hiyo ambayo hadi sasa
ina redio mbili, Clouds FM na Choice FM. Bado
haijajulikana itatumia jina gani.
Kwa sasa inapiga muziki peke yake.
Imepewa sifa na nani? Kwa nguvu gani aliyonayo/waliyonayo kukipa sifa kituo cha redio kinachorusha matangazo kwa majaribio ambacho huenda hakijafikia wasikilizaji hata 100,000???
 
sasa BBC inapatikana frequency zipi maana ndio nasikilizaga, nikashanga jana kufungua nakuta miziki tu kumbe wamehama.
 
Ruge ni mkurugenzi wa uzalishaji + vipindi clouds fm. Kusaga ni mkurugenzi mtendaji thou Ruge ana biashara zake ndogo~ndogo alizozianzisha ndani ya clouds i.e mradi wa ThT (Tanzania house of Talents).
THT haipo ndani ya clouds ni mradi binafsi wa Ruge

Clouds media group wanamiliki
Clouds fm
Clouds TV
Coconut FM
Escape one na escape two
Pia nasikia kuna hotel iko Zanzibar anaimilik Mke wa kusaga jina limenitoka

CMG wana kampuni tanzu kama prime time promotion ambao ndio huratibu matamasha ya fiesta
 
Kweli kabisa Choice ilikuwa vizuri sana, Kipindi wako ML Chris, Baby Kabae, Vanessa Mdee, Abby, Sebastian Mwaikambo, Tandi, Evans Bukuku.
424516_373436082680566_553982433_n.jpg


555687_469760533048120_249812971_n.jpg
Sasa mkuu siku izi wanakina gigy money na idris sultan unategemea nini?
 
THT haipo ndani ya clouds ni mradi binafsi wa Ruge

Clouds media group wanamiliki
Clouds fm
Clouds TV
Coconut FM
Escape one na escape two
Pia nasikia kuna hotel iko Zanzibar anaimilik Mke wa kusaga jina limenitoka

CMG wana kampuni tanzu kama prime time promotion ambao ndio huratibu matamasha ya fiesta
Mkuu nataka kuanzisha kipindi cha TV unaweza kujua gharama zake na mambo yanayotakiwa kwa hapa bongo !
 
THT haipo ndani ya clouds ni mradi binafsi wa Ruge

Clouds media group wanamiliki
Clouds fm
Clouds TV
Coconut FM
Escape one na escape two
Pia nasikia kuna hotel iko Zanzibar anaimilik Mke wa kusaga jina limenitoka

CMG wana kampuni tanzu kama prime time promotion ambao ndio huratibu matamasha ya fiesta
Na wewe acha kulisha watu matangopori... Escape one haiko chini ya clouds Media Group Bali huo ni mradi binafsi wa Jo Kusaga kama ilivyo Escape Two. Clouds M Group ni Kampuni ya familia Nzima Ya Kusaga(Kusaga's) inayomiliki 70%shares..[emoji41]
 
Back
Top Bottom