The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Hii system ya kurusha madarasa ipo dunia nzima
nchi zingine kunawekwa system kabisa
mtoto hawezi kuathirika sababu hawi peke yake
anakwenda jiunga na ma genius wenzie ambao pia ni umri wake
shule za msingi zilizopo vyuoni,kama mlimani shule ya msingi asili ya shule hizi ni kazi hiyo
kukusanya wale ma genius na kuwaweka karibu na maprofesa na access ya library ni lab za vyuo