Kurusha Mtoto Darasa . . .

Kurusha Mtoto Darasa . . .

naona wachangiaji wote wamesahau kwanza kabisa kujua Kongosho alitaka kupata jibu gani.....................nafikiri hakumaanisha kwamba mtoto akirushwa hata faulu, ama hataweza kuwa na maisha mazuri na hela hapana ila alichotaka kujua ni je nini matokeo ya njia yote ambayo mtoto huyu amepitishwa.

sasa nianze hivi:-

punde anapovushwa darasa mtoto huathirika sana kisaikolojia, hasa hujiona kama vile kanyang'anywa sehem ya marafiki zake na pia sehem ya mazingira aliyoyazoea. unapomrusha mtt darasa impact yake huwa the same na ile ya kumrudisha mtoto nyuma kisaikolojia ila tu tofauti ni kwamba huyu aliyerudi nyuma huofia bullying ilihali aliyevushwa hujisifu kwamba yuko bright. but uchungu wa kukosa ama kutengena na marafiki huwa pale pale

here comes the big problem kwa wale ambao hawa jitambui, kwanza mwanafunzi kuwa na uwezo mzuri darasani haimaanish kwamba anajitambua, na siku zote elimu ya kujitambua ni nje na elimu ya darasani manake hii ina involve peer group, home couching na schooling. sasa iwapo wazazi wa huyu mtoto aliyevushwa darasa hawako wazuri kwenye training ya good grooming ni wazi huyu mtoto atakuwa yuko chuo na miaka 17 lkn anatabia za kitoto zisizoendana na alipo.

kuna case ya mwanafunzi mmoja wa UDSM ambaye mwaka jana alikuwa mwaka wa kwanza ni mdada kaja chuo akiwa mtoto sana sasa alipokutana na watu wazima ambao wako kiutu uzima alishindwa ana akaogopa kabisa kusoma hali hii ilimpelekea huyu mtoto kushindwa kusoma kwa uhuru, na hata kuamua kuacha chuo sasa hivi wzazi wake wana plan kumpeleka chuo kingine. hili kwangu nimeliona ni tatizo sana manake wazazi wa huyu kijana wangejitahd kumpa elimu ya kujitambua ni wazi kwamba angejitambua zaid na mazingira yasingalikuwa scary kwake.
 
Last edited by a moderator:
Watu wa aina hii wako wangapi kwenye jamii?

Nimepata kusoma katika Shule hizi ambazo Serikali iliamua kuziita za vipaji maalumu kwa miaka yangu yote sita ya elimu ya sekondari.

Hapa Tanzania kuna watu wana akili sana lakini tatizo ni mfumo wetu mbovu wa elimu, ulitumeza wengi na mwisho wa siku hakuna matokeo chanya yalitokea.

Hakuna namna ya maandalizi yafanyikayo kujua kuwa watoto hawa waandaliwe kuwa kina nani huko mbeleni...
 
^^
Tunao wangapi wa aina hiyo hapa Tanzania? Unadhani mazingira yanaruhusu wawe huru kuwa wawavyo?
Wakati fulani nilialikwa katika familia ya Mkuu wa wilaya moja hapa Tanzania (sitamtaja) wakati nimefika pale napata kinywaji,nilimwona mtoto wake wa mwisho about 5 years...isingekuchukua elimu ya digrii kujua ana IQ kubwa basi baba yake akamwita kwa lugha ya kiingereza ambayo mtoto alikuwa anaimudu vema kuliko hata lugha mama ya wazazi wake.."Hellow Alex come here!" Mtoto akamtazama baba yake juu hadi chini kisha akamjibu "..Daddy Can't you use a polite request?.."
Ndio ana akili,ndio anajua lugha pendwa,ndio yuko Medium school..Lakini hiyo ndiyo adabu kwa wazazi,je kama mzazi amejibu hivi mwajiri atamjibu vipi?
^^

Jamani kwa sisi tuliosoma Tanzania kwa miaka ya nyuma kidogo, tulikuwa tunaona masomo mengi yanajirudiarudia tu, mtu aliyesoma Vidudu anaweza kuingia Darasa la pili bila shida, mtu aliyefika la sita na mwenye uwezo wake mzuri anaweza kwenda form one bila shida..... Form one ya Kipindi kile ilikuwa ni marudio ya Primary school kwa kiingereza tu, Kwa mtu mwenye kujituma vizuri shule anaweza kabisa kurushwa darasa bila wasiwasi na wala hakuna shida yoyote Kongosho
 
Akili nyingi bila nidhamu ni sawa na gari kuendeshwa na mwendawazimu
^^
 
Last edited by a moderator:
Unaposhangaa mtoto kurushwa darasa basi inabidi ushangae zaidi mtoto kurudishwa darasa au kukariri darasa.

Hakuna tatizo lolote mtoto kupaishwa darasa.
 
Hili ni janga la kitaifa, halafu imezoeleka kabisa na watu tunadhani ni sahihi.

Unaposhangaa mtoto kurushwa darasa basi inabidi ushangae zaidi mtoto kurudishwa darasa au kukariri darasa.

Hakuna tatizo lolote mtoto kupaishwa darasa.
 
^^
Akili nyingi bila nidhamu ni sawa na gari kuendeshwa na mwendawazimu
^^

Kaka nidhamu iko palepale, haya mambo yote yanajengeka kutoka kwenye familia unayotoka, tukitoa wale wanaozaliwa na vipaji maalumu, kama hiyo post yangu ya juu inavyomuelezea huyo Msouth Korea, uwezo wa mtoto, uelewa wa mtoto pamoja na kujiamini unatengezwa nyumbani kwanza kabla ya shule,
 
Asante kwa kunielewa, suala la kumpokonya mtoto marafiki hutokea hata anapotaka kuhama shule. Lakini kwenye kumrusha darasa si tu kupokonya marafiki, naona pia ni kumpokonya jumuia ya wenzake wenye uelewa au mtizamo sawa. Akianza darasa jipya inabidi aanze ku-adopt kukaa na watu wa uelewa/mtizamo wa juu kuliko wake.

Hapa kuna vitu vingi vya kujifunza pia, kufaulu mtihani na uelewa wa mambo ni vitu viwili tofauti. Kuna mtoto unakuta ana ufaulu wa wastani lakini ana uelewa wa vitu vingi na anaweza kukabiliana na mazingira yake. Labda kuna saa huwa sielewi maana ya elimu, ni kufaulu au kukabilaiana na mazingira yetu?

Naamini shule ni sehemu ya kumpa mtoto nafasi ya kukua na kujiandaa kwa hatua inayofuata, sasa kumrusha darasa aiwi kama unamshtukiza kuingia hatua nyingine? Je yale aliyoyaruka kuyasoma, hayana nafasi yeyote kakika kukuza uelewa wa mtoto?

naona wachangiaji wote wamesahau kwanza kabisa kujua Kongosho alitaka kupata jibu gani.....................nafikiri hakumaanisha kwamba mtoto akirushwa hata faulu, ama hataweza kuwa na maisha mazuri na hela hapana ila alichotaka kujua ni je nini matokeo ya njia yote ambayo mtoto huyu amepitishwa.

sasa nianze hivi:-

punde anapovushwa darasa mtoto huathirika sana kisaikolojia, hasa hujiona kama vile kanyang'anywa sehem ya marafiki zake na pia sehem ya mazingira aliyoyazoea. unapomrusha mtt darasa impact yake huwa the same na ile ya kumrudisha mtoto nyuma kisaikolojia ila tu tofauti ni kwamba huyu aliyerudi nyuma huofia bullying ilihali aliyevushwa hujisifu kwamba yuko bright. but uchungu wa kukosa ama kutengena na marafiki huwa pale pale

here comes the big problem kwa wale ambao hawa jitambui, kwanza mwanafunzi kuwa na uwezo mzuri darasani haimaanish kwamba anajitambua, na siku zote elimu ya kujitambua ni nje na elimu ya darasani manake hii ina involve peer group, home couching na schooling. sasa iwapo wazazi wa huyu mtoto aliyevushwa darasa hawako wazuri kwenye training ya good grooming ni wazi huyu mtoto atakuwa yuko chuo na miaka 17 lkn anatabia za kitoto zisizoendana na alipo.

kuna case ya mwanafunzi mmoja wa UDSM ambaye mwaka jana alikuwa mwaka wa kwanza ni mdada kaja chuo akiwa mtoto sana sasa alipokutana na watu wazima ambao wako kiutu uzima alishindwa ana akaogopa kabisa kusoma hali hii ilimpelekea huyu mtoto kushindwa kusoma kwa uhuru, na hata kuamua kuacha chuo sasa hivi wzazi wake wana plan kumpeleka chuo kingine. hili kwangu nimeliona ni tatizo sana manake wazazi wa huyu kijana wangejitahd kumpa elimu ya kujitambua ni wazi kwamba angejitambua zaid na mazingira yasingalikuwa scary kwake.
 
Nafasi ya shule katika makuzi ya mtoto ni ipi? Labda nikijua mtizamo wako hapa naweza kukuelewa zaidi.

Jamani kwa sisi tuliosoma Tanzania kwa miaka ya nyuma kidogo, tulikuwa tunaona masomo mengi yanajirudiarudia tu, mtu aliyesoma Vidudu anaweza kuingia Darasa la pili bila shida, mtu aliyefika la sita na mwenye uwezo wake mzuri anaweza kwenda form one bila shida..... Form one ya Kipindi kile ilikuwa ni marudio ya Primary school kwa kiingereza tu, Kwa mtu mwenye kujituma vizuri shule anaweza kabisa kurushwa darasa bila wasiwasi na wala hakuna shida yoyote Kongosho
 
Kaka nidhamu iko palepale, haya mambo yote yanajengeka kutoka kwenye familia unayotoka, tukitoa wale wanaozaliwa na vipaji maalumu, kama hiyo post yangu ya juu inavyomuelezea huyo Msouth Korea, uwezo wa mtoto, uelewa wa mtoto pamoja na kujiamini unatengezwa nyumbani kwanza kabla ya shule,

^^
Ntakuwa wa mwisho kuamini hilo unalosema Kituko kwa sababu mtoto anatumia muda mwingi awapo shuleni chini ya malezi ya mwalimu kuliko mzazi/nyumbani.
Shule za kutwa na hali mbaya zaidi ni shule za bweni ambapo mtoto akiwa na miaka mitano tu wengine wanawapeleka hosteli,,kuonana na mzazi hadi mihula itimie..Je upendo wa mzazi anaujua harufu yake,je anajua baba au mama anachukizwa au kupendezwa na nini? Changanya na tabia ya wazazi wa kiume kurudi mtoto ameshalala..je nidhamu gani unaiongelea hapa inayoanzia nyumbani? Bado umrukishe darasa akose hata masahihisho ya kitabia toka kwa rafiki na walimu wake ambayo ni ya muda mrefu.
"Behavior demands constructive monitoring" says Vygosky an educationist and psychologist
^^
 
Last edited by a moderator:
Hii mada inahusu MMU ya kielimu, kwa hiyo mods msiihamishe maana nimeiweka hapa kwa wadau(wazazi na wazazi wa baadae)

Jana nilipeleka kijana kufanya mtihani wa kuanza kidato cha kwanza, wakati niko pale kukawa na akina mama wengine. Katika maongezi mama mmoja akasema kaleta binti yake wa darasa la sita kufanya mtihani huo, akifaulu anaruka la saba na kuanza kidato cha kwanza.

Na kuwa wakati, kuna mama mmoja tunafanya naye kazi alimrusha binti yake toka darasa la tatu na kuingia la tano, maana yake hakusoma darasa la nne kabisa.

Sasa mie nataka kujua kutoka kwa wadau.

  1. Unapomrusha mtoto darasa hakuna hasara yeyote? iwe kielimu, mahusiano yake na wanafunzi wenzie na saikolijia nzima ya mtoto(Ukizingatia mchana na usiku anakula ugali-kuna sred niliona mtu kasema ugali unasababisha mtu awe kilaza)
  2. Kuna faida yeyote kurusha mtoto darasa?

Next week nitakuja na 'kupeleka watoto shule za bweni kwa elimu ya msingi na shule za awali)

cc EMT Dark City King'asti gfsonwin snowhite Kaizer Kaunga watu8

japo hujaniita , ila inategemea na akili na uelewa wa huyo mtoto,,,,,,,,,

mimi namfahamu mtu alisoma madarasa matatu tu primary na akafaulu shule ya vipaji maalumu enzi hizo na sasa hivi ni daktari,,,,,,,,,,,,,,,,,

kama unaona mtoto wako uwezo wake ni wa juu tofauti na darasa alilopo na unahisi ukimvusha haita muathiri ,,,, hamna haja ya kupoteza muda na fedha, maisha yenyewe haya mafupi........ watoto wanahitajika kupelekwa chap chap kabla hawajaanza kukutana na mabazazi wa mjini akiwa bado hajala madarasa ya kutosha.
 
Nakubali kwamba ni jambo mzuri mtoto atumie uwezo wake wa kiinteligensia ipasavyo kama ile level alokuwepo ameizidi..Kwasababu kama ile mitihani anayopewa itakuwa rahisi atakuwa anaboeka..
Ila ikumbukwe kwamba huyo bado ni mtoto..Mtoto anatakiwa awe na watoto wenzake.
  • Ukimrukisha madarasa maanake anakuwa na watoto wakubwa ambao hayupo nao rika moja,kwahio socializing skills zake zitapungua na hatoweza kufanya yale mambo ya kitoto kama watoto wa umri wake...
  • Atapata shida kupata marafiki kwasababu haendi nao darasani..Kwa kiswahili kizuri naweza kusema ANAPEVUSHWA kabla ya wakati wake na ananyimwa ile haki yake ya kuwa mtoto!!
 
Sioni shida sana ya kurusha mtoto darasa, ingawa kuna changamoto ya kuwa na wanafunzi wenzake ambao wanamzidi mno kiumri.
Mwanangu mimi alisoma shule ambayo ilikuwa wanaishia darasa la sita na kufanya mtihani wa cambridge then form one; alikuwa na miaka 10 akiwa darasa la sita, ina maana angeanza form one akiwa na miaka 11 ilahali wenzake wengi wana miaka 15. Niliona shida kidogo pindi atakapoenda boarding huko secondary hivyo nikaongea naye kuhusu kusoma mwaka wa 7 ili afanye mtihani wa Taifa, akakubali na hivyo akadelay kwa mwaka mmoja (ili amature kidogo); so now yu form one na he is 12 and he seems to be okay, na bahati njema sana shule yake hawachukui form one ambao ni over 14yrs.

Kama alivyosema The Boss hakuna ulazima sana wa kusoma madarasa yoote hayo kama mtoto ni genius, ila tunaweza kumnyang'anya mtoto hali ya kuwa na watoto wenzake wenye umri sawa +-2 years na kumfanya achangamane na watu wakubwa zaidi, ambayo yaweza:-
1: Kumpunguzia confidence (asiwe huru kutoa mawazo yake kwa kuwa mdogo hajui chochote)
2: Kumkuza haraka (kuongea, kureason, kuact like mkubwa)
3: Kumsababishia abuse (ingawa mara nyingi watoto wanakuwa everybody's favourite)
 
mmmh!
kila darasa lina hatua zake!
kila umri una tabia zake
na kila hatua ya maisha ina saikolojia yake
mimi ni mhanga katika hili
watoto wangu siwarushi darsa ila nawaanzisha shule mapema sana lets mtoto wangu wa miaka 8 mwakani anaingia darasa la tano!ni tatizo !
wengi huwa tunabase kwenye kuwakimbiza tu watoto lakini hatuali sana stages anazopitia kwa umri huo!
imagine aliingia shuleni akiwa na miaka mingapi!na akiwa na umri huo alitakiwa kuwa kwenye hatua gani kimalezi!
 
Wakuu mi nina swali hapa kwenye kurusha mtoto darasa, naomba anayeelewa anifafanulie. Nimesikia kuwa ukimrusha mtoto kutoka darasa la sita kwenda kidato cha kwanza, akifika kidato cha pili hatoweza kufanya mtihani wa taifa sababu sasa hivi namba zinapatikana katika mtihani wa darasa la saba, je ni kweli?
 
Kongosho,

Kati ya vitu ambavyo huwa nawalaumu sana wazazi au walimu wangu ni kutonirusha madarasa haswa yale ya shule ya msingi...

Nakumbuka wakati naandikishwa darasa la kwanza nilikuwa na uwezo wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu maana mama alinifunza kuanzia miaka miwili kabla ya kuanza shule...

Uwezo wa kuelewa na kuyakabili masomo nilikuwa nao, uwezo wa kutafuta mbinu mpya tofauti na zile za vitabuni nilikuwa nao mwisho wa siku shule nilikuwa naiona rahisi...

Binafsi sitasita kumrusha madarasa mwanangu au mtoto nimleaye if and only if he/she a wonder kiddo...

Bora wewe ulivumilia, mtoto wa dada yangu alikuwa anaboreka darasani kwa kutokutana na challenge mwisho wa siku akaishia mitaani ambapo aliamini kuna challenge zaidi. Kwa upande mwingine ni vizuri kuwaweka watoto kwenye level yao, bora kuanzishwe shule za watoto wenye vipaji maalumu. The Boss deal hilo tulikomalie au???
 
Last edited by a moderator:
Mafanikio ya mtoto ya kieleimu yanapimwaje?

Unaeza kuta nakompliketigi mambo bure

japo hujaniita , ila inategemea na akili na uelewa wa huyo mtoto,,,,,,,,,

mimi namfahamu mtu alisoma madarasa matatu tu primary na akafaulu shule ya vipaji maalumu enzi hizo na sasa hivi ni daktari,,,,,,,,,,,,,,,,,

kama unaona mtoto wako uwezo wake ni wa juu tofauti na darasa alilopo na unahisi ukimvusha haita muathiri ,,,, hamna haja ya kupoteza muda na fedha, maisha yenyewe haya mafupi........ watoto wanahitajika kupelekwa chap chap kabla hawajaanza kukutana na mabazazi wa mjini akiwa bado hajala madarasa ya kutosha.
 
Hivi mahusiano ya watu wengine si sehemu ya elimu?

Nakubali kwamba ni jambo mzuri mtoto atumie uwezo wake wa kiinteligensia ipasavyo kama ile level alokuwepo ameizidi..Kwasababu kama ile mitihani anayopewa itakuwa rahisi atakuwa anaboeka..
Ila ikumbukwe kwamba huyo bado ni mtoto..Mtoto anatakiwa awe na watoto wenzake.
  • Ukimrukisha madarasa maanake anakuwa na watoto wakubwa ambao hayupo nao rika moja,kwahio socializing skills zake zitapungua na hatoweza kufanya yale mambo ya kitoto kama watoto wa umri wake...
  • Atapata shida kupata marafiki kwasababu haendi nao darasani..Kwa kiswahili kizuri naweza kusema ANAPEVUSHWA kabla ya wakati wake na ananyimwa ile haki yake ya kuwa mtoto!!
 
Nimepata kusoma katika Shule hizi ambazo Serikali iliamua kuziita za vipaji maalumu kwa miaka yangu yote sita ya elimu ya sekondari.

Hapa Tanzania kuna watu wana akili sana lakini tatizo ni mfumo wetu mbovu wa elimu, ulitumeza wengi na mwisho wa siku hakuna matokeo chanya yalitokea.

Hakuna namna ya maandalizi yafanyikayo kujua kuwa watoto hawa waandaliwe kuwa kina nani huko mbeleni...

utakuwa ni kijana wa kitemangu tu wewe,,,,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom